Mbinu "copies" za mchezo wa drafti la Tanzania

Yea, hii ishu ndiyo ilifanya nisiwe nacheza kule. Nilijiunga nikakuta ndiyo raia wanailalamikia balaa.
mi mwenyewe ntaikacha, nimegundua hilo baada ya kutoa time limit nikajikuta karibia kila gem eti nakimbizwa tu mimi

Nimecheza na watu wawili kwa kutumia copy moja ila cha ajabu eti wote wamecheza mchezo wa aina hiyo hiyo mpaka umaliziaji, yaani kete aliyosukuma mpinzani wangu wa kwanza ndio hizo hizo alizosukuma mpinzani wapili
 

Haina ushindani kama ni hivyo, ngoja nimtafute Castr nijipatie kitonga.
 
Mi mwenzako machungu namalizia kwa Darius RR
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…