Mbinu "copies" za mchezo wa drafti la Tanzania

Kuna mwamba anaitwa mdakabomu anavyoanza unaweza mpiga hadi goli 5 ukahisi ni kibonde. Jamaa jana nilimchakaza goli 5 lkn nashangaa alianza nipigia sijui kopi gani nikala mvua 10 mfululizo. Kama upo humu ndani leo nakusaka nikitoka tu job.
Hahahahahaha vp sie wa pembeni tunaweza anaangalia mchuano live
 
Nipe hiyo web
 
nimeshuhudia game kali sana kati ya Chivundu na Upupu. wale watakuwa ni mabingwa sana.
 
Una magoli ya plastic hayaozi?

Magoli yenyewe yakupewa na kamisaa umejisetia time limit wakati mi nimekupa uhuru unlimited?

Sasa saizi naset mwisho sekunde 20 ukipilitiza napewa ushindi wa mezani kama ambavyo umepewa wewe
mkuu sogea nikutungue mawili
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…