Heavy User
JF-Expert Member
- Feb 2, 2020
- 1,047
- 1,903
Huwa nambong'onyoa huyo jamaa Hadi huruma.Ukiona mtu kaweka dakika 15 kwenda juu huyo ni wa kufikiria mpaka kero, kuna jamaa anaitwa kmohd, huyu jamaa anafikiria mpaka bored.
Halafu kuna waoga, akikufunga moja tu anakimbia.
Yaan jamaa anajua had keroHao wote ni moto wa kuotea mbali. Akichezaga mkulima watu wote wanaacha kucheza, wanakwenda kumuangalia jinsi anavyocheza
Wezarohoyo kama alinikimbia hv aisee [emoji23][emoji23]Mimi uchezaji unaonivutia ni wa wezarohoyo, muungwana na townkid. Sema wezarohoyo ana wenge ukishamfunga magoli mawili matatu.
Nani?, wezarohoyo?, kama unamfunga wezarohoyo unajitahidi. Mchezo wa drafti unahitaji mazoezi, wakati alipokuwa anahudhuria mara kwa mara alikua vizuri, siku hizi anakuja kwa msimu amekua wa kawaidaHuwa nambong'onyoa huyo jamaa Hadi huruma.
Hata ukiangalia statistics yake, kafungwa na watu wachache tu, ambao ni kilimbe, mshindi na bwete86. Hao wote wamemfunga 1-0, walimbahatisha kimoja halafu wakakimbia. Katoa sare na strobe, cfn9847g, mchunguzi, kinghamid na mww9303g, waliobaki wote kawafunga. Jamaa hana majivuno, anacheza hata na mtu mwenye rank ya blue, wengi wenye point nyingi ukitaka kucheza nao wanaku-boot/displace.Yaan jamaa anajua had kero
Siku hizi hana mazoeziWezarohoyo kama alinikimbia hv aisee [emoji23][emoji23]
Hakika jamaa hana majivuno kabisaa hv huyu yuko dar kwel..?Hata ukiangalia statistics yake, kafungwa na watu wachache tu, ambao ni kilimbe, mshindi na bwete86. Hao wote wamemfunga 1-0, walimbahatisha kimoja halafu wakakimbia. Katoa sare na strobe, cfn9847g, mchunguzi, kinghamid na mww9303g, waliobaki wote kawafunga. Jamaa hana majivuno, anacheza hata na mtu mwenye rank ya blue, wengi wenye point nyingi ukitaka kucheza nao wanaku-boot/displace.
Nachukia sana wachezaji wenye tabia ya ku-displace wenzao.
SifahamuHakika jamaa hana majivuno kabisaa hv huyu yuko dar kwel..?
Huwezi kuchange muda wakati game ikiwa inaendeleaHi kitu huwa inanikera sana aiseee, sometimes unaweza ukaona dk za mwenzako zinazidi kwenda tu kumbe bila kujua zinaenda za kwako eti Kete yako haijaenda wkt umesukuma na ikaonekana kwenda.
Jambo la pili ni watu kung'ang'ania point za Bure kwa kuwa muda wako imebaki mdg ingalikuwa game ni draw.
Jambo jingine ni Ile kitu ya Kete tatu kwende mpk 15 baadala ya kuishia 12.Hapo ni ungese.
Jingine ni Hilo la mtu kuchange muda wkt game ikiendelea.Huu ni uhuni,ishanicost mara nyingi sana.
Aisee Kuna mtu ana point 1800+ na rangi kawekewa ya orange. Anaitwa poweramHata ukiangalia statistics yake, kafungwa na watu wachache tu, ambao ni kilimbe, mshindi na bwete86. Hao wote wamemfunga 1-0, walimbahatisha kimoja halafu wakakimbia. Katoa sare na strobe, cfn9847g, mchunguzi, kinghamid na mww9303g, waliobaki wote kawafunga. Jamaa hana majivuno, anacheza hata na mtu mwenye rank ya blue, wengi wenye point nyingi ukitaka kucheza nao wanaku-boot/displace.
Nachukia sana wachezaji wenye tabia ya ku-displace wenzao.
Kupata hiyo point inabidi uwe nunda kwelikweli. Waliowahi kuipata ni wachache, ninaowafahamu ni consciouz, townkid, kingmwando, tobodunda na runi9poacher.Aisee Kuna mtu ana point 1800+ na rangi kawekewa ya orange. Anaitwa poweram
wengi hatulijui, wengi tumezoea kucheza lambele tupuDah!! Hili game LA kula mbele tu linalishinda kinoma.. Nshazoea kula pote [emoji3][emoji16].
Yaani kwenye hili game Nina rank ya chini mno najitahidi kucheza lakini hadi vibonge wanani"kanyaga" [emoji23] hadi leo nimeshindwa kurudi japo 1200+
Ila nikiswichi kwenye game langu pendwa la franchise mbele na nyuma nawagonga kinyama wengine wakiona ID yangu tu wanakula kona [emoji1787].. Maana 1500+ si mchezo tena niliwahi kupanda hadi 1700+
Tazama hizo picha hapo down...View attachment 2106966View attachment 2106967
Wewe hujanielewa la mbele tu Mimi ndo silijui huku kanda ya ziwa tunacheza la mbele na nyumawengi hatulijui, wengi tumezoea kucheza lambele tupu
hakunaUkiacha colour inversion, hakuna njia nyingine ya kubadili muonekano wa drafti la playok liwe na dark theme?. Rangi nyeupe inaumiza macho.
View attachment 2115952
Mkuu wanatumiaje assistance dalmax mpk kupata sareHawa wengi ni mapimbi bila assistance ya dalmax ni zero hata sare hawapati