Mbinu "copies" za mchezo wa drafti la Tanzania

Mimi mgumu kukariri copy mimi hua naimprovise humo humo. Kwa jinsi Red Giant ameanza naona ni kopi inayohitaji umakini sana.

Sasa tuache stori ndefu. Kuna website kabisa ambayo watu hua wanacheza online, mimi sikupendezwa sana kwakua wachezaji wa mule naona miyeyusho.

Hiyo website unatengeneza id ila kwa siku ya kwanza utakua hauwezi kucoment bali kucheza tu mpaka kesho yake. Kama kuna mtu anaona yuko fresh aniambie nimtajie web husika akafungue id tukutane kule tufundishane vizuri.

Kwako Scars pia.
 
Ilete mkuu. Kuna game za kitanzania?
 
Tatizo ya online ni server tu. Network ikiwa down kidogo tu mambo yana virugika
 
Hapo lazima uombe hiyo na mimi naomba hiyo yako.
 
Ninavyoona mimi ile kete ya njano ikiombwa ni ishu kwa sasa hivyo kete ya kucheza kwa bluu ni kuziba pengo la kwenye meja ndogo wakati anatengeneza mazingira ya kuila ile kete.
Akichelewa kula anaweza fungwa. Ila sijawahi cheza dizaini hiyo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…