Castr
JF-Expert Member
- Apr 5, 2014
- 35,012
- 70,201
Mimi mgumu kukariri copy mimi hua naimprovise humo humo. Kwa jinsi Red Giant ameanza naona ni kopi inayohitaji umakini sana.
Sasa tuache stori ndefu. Kuna website kabisa ambayo watu hua wanacheza online, mimi sikupendezwa sana kwakua wachezaji wa mule naona miyeyusho.
Hiyo website unatengeneza id ila kwa siku ya kwanza utakua hauwezi kucoment bali kucheza tu mpaka kesho yake. Kama kuna mtu anaona yuko fresh aniambie nimtajie web husika akafungue id tukutane kule tufundishane vizuri.
Kwako Scars pia.