Mbinu "copies" za mchezo wa drafti la Tanzania

Nisha fungua nimejaribu kucheki active members nimeona watu wameweka username zenye mikwara nimebakia nacheka tu
Mbona naona unakamuana na mtu
 
Nisha fungua nimejaribu kucheki active members nimeona watu wameweka username zenye mikwara nimebakia nacheka tu
Mshikaji uliyecheza naye na mimi nimeruka naye.

Ila nimesahau paswed so nimeingia kama gest game ya kwanza kapasuka kwa kete tatu ya pili nimempiga kawaida
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…