Castr
JF-Expert Member
- Apr 5, 2014
- 35,012
- 70,201
Sasa hivi napiga siangalii majina. Inawezekana nishakupitia ila nimeshasahau.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sasa hivi napiga siangalii majina. Inawezekana nishakupitia ila nimeshasahau.
Nakupataje mbona unanizungusha hivyo?Darius RR ,Castr Scars CARDLESS,
Nimepiga huyu Jamaa anae jiita scars6 mpaka kaamua kunikomoa kwa kulala nusu saa nzima ni tura tu, alete ela nimuongeze Mbinu zaidi, tula huyu
Nimemchapa goli tatu na sare moja
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahaha nimeona.
nilikua naji multitask Kuna ishu nilikua naifanya nilikosa utulivu na ndo maana ulikua unaona kama napiga usingizi.Darius RR ,Castr Scars CARDLESS,
Nimepiga huyu Jamaa anae jiita scars6 mpaka kaamua kunikomoa kwa kulala nusu saa nzima ni tura tu, alete ela nimuongeze Mbinu zaidi, tula huyu
Nimemchapa goli tatu na sare moja
Sent using Jamii Forums mobile app
Stay active nitawacheki nikipata utulivu, now tambeni tuHilo jamaa linajua, ila hata Scars yuko vizuri.
Wewe unaweza kushika mkia.
Halafu goli ulilonifunga hata mwenyewe sidhani kama unalifurahia, maana time limit ndio iliyokupa ushindi ila kiuhalisia lilikua sare.Darius RR ,Castr Scars CARDLESS,
Nimepiga huyu Jamaa anae jiita scars6 mpaka kaamua kunikomoa kwa kulala nusu saa nzima ni tura tu, alete ela nimuongeze Mbinu zaidi, tula huyu
Nimemchapa goli tatu na sare moja
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji3][emoji3][emoji3] me mtu hatari sanaHalafu goli ulilonifunga hata mwenyewe sidhani kama unalifurahia, maana time limit ndio iliyokupa ushindi ila kiuhalisia lilikua sare.
Nazungumzia lile bao ambalo nilikua main road halafu kuna kete nakula ambapo baada ya hapo nilikua nakupiga mdundo nakula kete mbili na ulikua mchezo wa lazima hauepukiki, lakini ukapewa eti goli
Now nime change settings nimeweka 60 minutes, nikitulia nakuita
Mpinzani akianza hivi..mi naweka mguu wa meja katiDraughts au checker ina kopi mbili tu zenye nguvu za kuanza. Zingine zote utakimbizwa. Njia hizo ni hizi.
View attachment 1840824
Hapa lazima njano atafte sareAkiweka hii block bao litamsunbua sana. Magoli ni mengi sana
View attachment 1841440
Kula moja..usile mbili
We tula panda kitandani...nikukute na gagulo lakoNimetoka kumuua mtu sasa hivi hukoView attachment 1841609
Amenifunga goli zaidi ya tatu. Suluhu moja. Nimemfunga moja.
Ukicheza naye jihadhari inaonyesha ni mlozi huyo bwana.
Edit: Suluhu mbili
We maamuma ngoja nijisajili uko nije nikuueUnatumia jina gani ili nikikupata nikupe dozi , hafu nije kukujibu huku , who are u by the way😲😲😲 me ni bigwa wa mabigwa
Labda bingwa wa kukanda maandaziUnatumia jina gani ili nikikupata nikupe dozi , hafu nije kukujibu huku , who are u by the way😲😲😲 me ni bigwa wa mabigwa
Una mkwara. Maliza kujisajili uje kutaja id upasukeWe zambwa taja I'd yako nikukague
Juma mpemba ndo I'd yanguUna mkwara. Maliza kujisajili uje kutaja id upasuke