Mbinu "copies" za mchezo wa drafti la Tanzania

Mimi ni fundi wa huu mchezo lkn majina ya sijui njia zake aisee siyajui
 
Kama hujui basi wewe sio fundi, [emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahahhahahaha kuna jamaa alikujaga kinondani shamba alitufunga sana alinipaga copy flani hivi nilisumbua nayo kinoma alisema inaitwa "kiboko ya matutusa"[emoji1787]
Jamaa alikua balaa sana nakumbuka tulicheza nae michezo kumi halafu badae akanionesha nilipokua nakosea kwa kila mchezo!!! Sasa nikazani yy ndo balaa wa draft duniani.. Aliniacha hoi aliposema eti kinondoni manyanya kuna watabe yy n muokota kete tu!!"[emoji1787]
Akanitajia kina ronado mangurere na wengineo...
Tatizo huku kanda ya ziwa tunacheza French tu huku kuna watabe aisee kuna mwamba yupo mwanza anaitwa kasikio na mwingine sirari anaitwa Kaduka! Ni nyoko sana anakupa ofa ukifika king unakula elfu kumi we unaweka elfu mbili... Thubutu utapigwa hadi uchakaeee...
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji16]
 
siwaoni kijiweni. nimemuona Juma Mpemba tu, naye kapigwa kakimbia.
 
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] Nikuuzie hata moja kiboko ya matutusa , uwatese huko

Mana me kuwekeana ela siwezi kucheza

Sent using Jamii Forums mobile app
 
leo nimepiga sana watu, mabata nakuona unachungulia-chungulia tu
 
Back
Top Bottom