Eng. Zezudu
JF-Expert Member
- Aug 23, 2012
- 8,024
- 11,546
nilikuadhibu ukakimbiaWewe ni sijui nani nani mwado...unajifanya kubadili jina Tena..umesahau ulivotaja juzi..zambwa we
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
nilikuadhibu ukakimbiaWewe ni sijui nani nani mwado...unajifanya kubadili jina Tena..umesahau ulivotaja juzi..zambwa we
wewe si ulinikimbiaWewe ni sijui nani nani mwado...unajifanya kubadili jina Tena..umesahau ulivotaja juzi..zambwa we
We tula unatumia I'd ganiMm ninunue copy kwako nimekuchek kingkibano kuna vibonde kibao wamekupelekea moto.
Mm nakupa uzuie draw na sichez bure na ww.
We zambwa ulimfunga nani..niweke record..?nilikuadhibu ukakimbia
Kama hujui basi wewe sio fundi, [emoji1787][emoji1787][emoji1787]Mimi ni fundi wa huu mchezo lkn majina ya sijui njia zake aisee siyajui
Nilijifunza tu mitaani ila sikuwahi kusikia majina lkn najulikana kama legend bs hapa najifunza majinaKama hujui basi wewe sio fundi, [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sent using Jamii Forums mobile app
Niliekeze jinsi ya kuset British draughtjuma mpemba nakutafuta
Hahahahhahahaha kuna jamaa alikujaga kinondani shamba alitufunga sana alinipaga copy flani hivi nilisumbua nayo kinoma alisema inaitwa "kiboko ya matutusa"[emoji1787]Kama hujui basi wewe sio fundi, [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sent using Jamii Forums mobile app
siwaoni kijiweni. nimemuona Juma Mpemba tu, naye kapigwa kakimbia.Hahahahhahahaha kuna jamaa alikujaga kinondani shamba alitufunga sana alinipaga copy flani hivi nilisumbua nayo kinoma alisema inaitwa "kiboko ya matutusa"[emoji1787]
Jamaa alikua balaa sana nakumbuka tulicheza nae michezo kumi halafu badae akanionesha nilipokua nakosea kwa kila mchezo!!! Sasa nikazani yy ndo balaa wa draft duniani.. Aliniacha hoi aliposema eti kinondoni manyanya kuna watabe yy n muokota kete tu!!"[emoji1787]
Akanitajia kina ronado mangurere na wengineo...
Tatizo huku kanda ya ziwa tunacheza French tu huku kuna watabe aisee kuna mwamba yupo mwanza anaitwa kasikio na mwingine sirari anaitwa Kaduka! Ni nyoko sana anakupa ofa ukifika king unakula elfu kumi we unaweka elfu mbili... Thubutu utapigwa hadi uchakaeee...
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji16]
Subiri hapo haposiwaoni kijiweni. nimemuona Juma Mpemba tu, naye kapigwa kakimbia.
Darius RR si ujiunge na riadha?
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] Nikuuzie hata moja kiboko ya matutusa , uwatese hukoHahahahhahahaha kuna jamaa alikujaga kinondani shamba alitufunga sana alinipaga copy flani hivi nilisumbua nayo kinoma alisema inaitwa "kiboko ya matutusa"[emoji1787]
Jamaa alikua balaa sana nakumbuka tulicheza nae michezo kumi halafu badae akanionesha nilipokua nakosea kwa kila mchezo!!! Sasa nikazani yy ndo balaa wa draft duniani.. Aliniacha hoi aliposema eti kinondoni manyanya kuna watabe yy n muokota kete tu!!"[emoji1787]
Akanitajia kina ronado mangurere na wengineo...
Tatizo huku kanda ya ziwa tunacheza French tu huku kuna watabe aisee kuna mwamba yupo mwanza anaitwa kasikio na mwingine sirari anaitwa Kaduka! Ni nyoko sana anakupa ofa ukifika king unakula elfu kumi we unaweka elfu mbili... Thubutu utapigwa hadi uchakaeee...
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji16]
Mana me kuwekeana ela siwezi kuchezaHahahahhahahaha kuna jamaa alikujaga kinondani shamba alitufunga sana alinipaga copy flani hivi nilisumbua nayo kinoma alisema inaitwa "kiboko ya matutusa"[emoji1787]
Jamaa alikua balaa sana nakumbuka tulicheza nae michezo kumi halafu badae akanionesha nilipokua nakosea kwa kila mchezo!!! Sasa nikazani yy ndo balaa wa draft duniani.. Aliniacha hoi aliposema eti kinondoni manyanya kuna watabe yy n muokota kete tu!!"[emoji1787]
Akanitajia kina ronado mangurere na wengineo...
Tatizo huku kanda ya ziwa tunacheza French tu huku kuna watabe aisee kuna mwamba yupo mwanza anaitwa kasikio na mwingine sirari anaitwa Kaduka! Ni nyoko sana anakupa ofa ukifika king unakula elfu kumi we unaweka elfu mbili... Thubutu utapigwa hadi uchakaeee...
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji16]
Lete tu mi sina rekodiUnataka nilete records za mechi zetu?
Hahaha tatizo nakukuta na watu halafu draft lako dakika 60leo nimepiga sana watu, mabata nakuona unachungulia-chungulia tu