Aneel munawar
JF-Expert Member
- Aug 1, 2017
- 4,580
- 8,141
Uwezo huna wa kutoa copy..labda kama awe hajui sana[emoji41][emoji41] otherwise aje kwangu ni mmpe maujuzi kwa ela.[emoji851][emoji851][emoji851]wakitaa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Uwezo huna wa kutoa copy..labda kama awe hajui sana[emoji41][emoji41] otherwise aje kwangu ni mmpe maujuzi kwa ela.[emoji851][emoji851][emoji851]wakitaa
We lazima nikuonje. Ruka ruka ila lazima utanasaMuulize mwenzio dariusrr nimemfanyaje , saiZ sina fear play ni mwendo wa kichapo tu
Mimi naotea wewe msambaa.Wewe nakuchapa mpaka nakuhurumia points zako.
Kwa ulivyo Mbovu ivyoWe lazima nikuonje. Ruka ruka ila lazima utanasa
Wewe tusa nilikufanya Nini mpaka ukakimbiaUwezo huna wa kutoa copy..labda kama awe hajui sana
Screenshot statistics kama ulinipa mbinu..mi siwezi ngatwa na kipepeo
Hahaha au siyo?Kwa ulivyo Mbovu ivyo
Hahaha au siyo?
Msambaa upo?Ila we jamaa inabidi draft uache tu
Mi sijacheza mda mrefuMe nina point Zaid ya 1400, wewe 1200 minus
Sikimbii viweteWewe tusa nilikufanya Nini mpaka ukakimbia
nyie wabovu mbona kimya sana? siwaoni kilingeni.
NipoUpo Mkuu?
Kupanda kiwango, hicho ndiyo kiti cha maana. Kuna watu lengo ni points hadi wanazitafuta kwa uhuni. Anaweka time ndogo halafu anacheza fastafasta. Hata ukimbana anahakikisha unaishiwa muda. Hapa anakufunga kwa wewe kuzidisha muda.Ninavyochezea kichapo napagawa mpaka nashindwa kujua lengo langu la kucheza draft playok kwa bidii, ni points nyingi au kupanda kiwango?
copy Gani wewe tula tu , labda mabata ndo anakukimbiaKuna kopi moja nimeipata hakika matula wote wanajuta n full kukimbia leo nimecheka ѕana hadi watu wanashangaa [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23]
😆😆😆😆 Nikuuzie copy , mpaka baba Steve anakusumbua Yani?Baba steve kama uko huku,,unachonifanyia nashukuru[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]