Mbinu hii ikitumika, Dr SLAA anatoka gerezani siku mbili

Wanajukwaa heshima iwe kwenu.

Hivi kweli wenye mapenzi mema wanashindwa na walaghai na wafitini wenye kumshikilia Mzee Slaa na kumnyima dhamana kusiko haki?

La Hasha,
Mbinu hizi zitumike, huenda zikazalisha mengi zaidi mazuri ya neema kwa WaTz nchi ikapata mabadiliko muhimu sana kupitia sakata la Dr SLAA.

Moja,
Mawakili wooote wanaopambania ile kesi watangaze kujitoa na kuiachia mahakama na mawakili wa serikali waendelee nayo wenyewe. Kwanza Slaa mwenyewe alisomea canon law hivyo anaweza kujitetea mwenyewe.
Wakitaka wamfunge, wakitaka wamuue.
Hili suala litangazwe waziwazi mchana kweupe, kwamba watu hawawezi kupoteza muda wa kwenye mahakama zisizofuata kanuni, kuchezeana sarakasi zisizo na kichwa wala miguu.

Pili,
Hili suala la maCCM na wauza bandari la Tanganyika kutaka kumkomoa/kumuua Dr. Slaa (mtetezi wa kweli haki za Tanganyika ndani ya Tanzania) LIWEKWE WAZI, ifanye PRESS ya ukweli, na Itangazwe kuwa endapo ikitokea Dr SLAA akafanyiwa jambo baya kama kufungwa au kufa basi maandamano hayatokoma mpaka mkoloni mweusi atakapoiachia nchi yetu.

Tatu,
Tangazo la maandamano litolewe endapo Dr. Slaa hatoaachiwa ndani ya siku mbili. Kama wanashakia usalama wake basi hao wanaodhaniwa kutaka kumdhuru ndo wakamatwe.

Abdul na Mama yake hawawezi kufanya wapendavyo kwenye nchi ya wote hii.

HAKI LAZIMA ISIMAME, WALA SIYO YA KUBEMBELEZANA.
Nilidhani una akili

Slaa balozi? Aliyesema chakadomoz mnatekana na kuuana, kwamba Lissu risasi ni normal tu, na akawauza pale Serena hotel?

Una akili fupi mno aisee…. Huyo mzee anatesingizia usalama wamemwambia wako tayari kwenda barabarani kuqndamana?
Acheni akome na ufitini wake

Chadomoz mnahangaika sana kihisia… and you don’t know where you stand
 
Wanajukwaa heshima iwe kwenu.

Hivi kweli wenye mapenzi mema wanashindwa na walaghai na wafitini wenye kumshikilia Mzee Slaa na kumnyima dhamana kusiko haki?

La Hasha,
Mbinu hizi zitumike, huenda zikazalisha mengi zaidi mazuri ya neema kwa WaTz nchi ikapata mabadiliko muhimu sana kupitia sakata la Dr SLAA.

Moja,
Mawakili wooote wanaopambania ile kesi watangaze kujitoa na kuiachia mahakama na mawakili wa serikali waendelee nayo wenyewe. Kwanza Slaa mwenyewe alisomea canon law hivyo anaweza kujitetea mwenyewe.
Wakitaka wamfunge, wakitaka wamuue.
Hili suala litangazwe waziwazi mchana kweupe, kwamba watu hawawezi kupoteza muda wa kwenye mahakama zisizofuata kanuni, kuchezeana sarakasi zisizo na kichwa wala miguu.

Pili,
Hili suala la maCCM na wauza bandari la Tanganyika kutaka kumkomoa/kumuua Dr. Slaa (mtetezi wa kweli haki za Tanganyika ndani ya Tanzania) LIWEKWE WAZI, ifanye PRESS ya ukweli, na Itangazwe kuwa endapo ikitokea Dr SLAA akafanyiwa jambo baya kama kufungwa au kufa basi maandamano hayatokoma mpaka mkoloni mweusi atakapoiachia nchi yetu.

Tatu,
Tangazo la maandamano litolewe endapo Dr. Slaa hatoaachiwa ndani ya siku mbili. Kama wanashakia usalama wake basi hao wanaodhaniwa kutaka kumdhuru ndo wakamatwe.

Abdul na Mama yake hawawezi kufanya wapendavyo kwenye nchi ya wote hii.

HAKI LAZIMA ISIMAME, WALA SIYO YA KUBEMBELEZANA.
Haya yote uliyoyaandika,je ukiitwa unaweza kuyasema kama yalivyo?.
 
Mzee kafanya uhuni makusudi na wao wanamfanyia uhuni makusudi. Kuna uwezekano mkubwa hata yeye alifanya akijua atakutana na mambo kama haya.
 
Kususia kesi haimpi unafuu wowote, atashitakiwa na jamuhuri hata asipokuwa na wakili.
 
Hii nchi ni kama imelaaniwa vile kila mtawala anaekuja mambo yake ni yaleyale alipokufa Magufuli watu tukamshukuru Mungu kwa kutuondolea shetani mtu,kaja huyu mama tukafikri nchi itakuwa nafuu kumbe ni mashetani Yale Yale yanafanya bandika bandua,ana toka shetani baba anaingia shetani mtoto.

Kama siyo ushetani na kujitafutia laana ni nini?unamuwekaje ndani na kumnyima dhamana mtu kama Dr slaa kwa makosa ya mchongo?.
 
Wanajukwaa heshima iwe kwenu.

Hivi kweli wenye mapenzi mema wanashindwa na walaghai na wafitini wenye kumshikilia Mzee Slaa na kumnyima dhamana kusiko haki?

La Hasha,
Mbinu hizi zitumike, huenda zikazalisha mengi zaidi mazuri ya neema kwa WaTz nchi ikapata mabadiliko muhimu sana kupitia sakata la Dr SLAA.

Moja,
Mawakili wooote wanaopambania ile kesi watangaze kujitoa na kuiachia mahakama na mawakili wa serikali waendelee nayo wenyewe. Kwanza Slaa mwenyewe alisomea canon law hivyo anaweza kujitetea mwenyewe.
Wakitaka wamfunge, wakitaka wamuue.
Hili suala litangazwe waziwazi mchana kweupe, kwamba watu hawawezi kupoteza muda wa kwenye mahakama zisizofuata kanuni, kuchezeana sarakasi zisizo na kichwa wala miguu.

Pili,
Hili suala la maCCM na wauza bandari la Tanganyika kutaka kumkomoa/kumuua Dr. Slaa (mtetezi wa kweli haki za Tanganyika ndani ya Tanzania) LIWEKWE WAZI, ifanye PRESS ya ukweli, na Itangazwe kuwa endapo ikitokea Dr SLAA akafanyiwa jambo baya kama kufungwa au kufa basi maandamano hayatokoma mpaka mkoloni mweusi atakapoiachia nchi yetu.

Tatu,
Tangazo la maandamano litolewe endapo Dr. Slaa hatoaachiwa ndani ya siku mbili. Kama wanashakia usalama wake basi hao wanaodhaniwa kutaka kumdhuru ndo wakamatwe.

Abdul na Mama yake hawawezi kufanya wapendavyo kwenye nchi ya wote hii.

HAKI LAZIMA ISIMAME, WALA SIYO YA KUBEMBELEZANA.
Dogo wewe utaamdamana? Au uko zako Nanjilinji unapalilia mikorosho yako halafu unahamasisha maandamano ambayo hutashiriki! Ahahahahaha!!
 
Ungekuwa na akili ungetambua kuwa mtu anakuwa innocent hadi atakapokutwa na hatia.

Kumnyima dhamana mtu kwa makosa yanayodhaminika ni ushetani.
Akili iko ila nimekosa busara

Acha mzee anyee debe, kauli zake ni za kuchochea na kuzusha

Do you know zile kauli zake zinaweza kuvictimize watu wangapi?

Tusiendekeze watu wa namna hiyo
 
Dr. Slaa alikuwa too excited,akafanya Ile harangue,akakamatwa.
Imekuwa kawaida yake Dr. Slaa anakuwa hyperexcited.
Ingawa sometimes amekuwa kama conscience ya Taifa.
Lakini I am disappointed kwamba bado yuko mahabusu na anaombewa dhamana wakati mtu wa heshima kama Dr. Slaa anatakiwa kuombewa unconditional release.
This is absurd to disturb an old man.
What again was the charge against him?
I forget what he said.
Kwamba alilalamika kwamba Rais Samia anatoa hela kwa wapendwa wake wengine.
I forget the complaint.
Mi kwa mfano,miaka miwili almost sina medical card.
I am amazed at all this money that is being flashed about.
Nchi imekamatwa na watu wachache, everybody else does not matter.
Na trillioni zao benki ukiwasema kidogo wanasema umewaletea uchungu mwingi.
Acha kuuma uma maneno!! Slaa alisema Samia anampa Mbowe mihela ili kumsaidia kushinda uenuekiti wa CHADEMA!
 
Wakitangaza maandamano, mtatokea barabarani? Ni hilo tu.
Wewe umeongea kweli, mtu yupo kwenye key board anazungumza maswala ya njozi zake tu. Huwezi kupambana na serikali kirahisi rahisi kama unavyo dhania. Ona ANC walipambana miaka 30 Mandela akiwa ndani tena mapambano ya kigaidi. Maelfu ya watu walikufa kwenye mapambano yale. Ona Congo M23 na vikundi vingine vinazaidi ya miaka 20 vipo msituni vinapambana tu. Wewe umelala kitandani na kasimu kako unataka kuwaongopea watu.
 
If the worst happens to Dr. Slaa while in custody then she'll have everything to do with it
Let she play with the rome, she holds a presidential candidacy as a wet soap in a wide holed toilet.
 
Kwani Kosa la Dr.Slaa ni lipi? Juzi niliona Clip Rais ana sema "Rais wa Tanzania haondolewi hivyo mnavyopanga huko mitaani, na uzuri mipango yenu yote na kila mlichoongea ninacho"

Nikahisi labda Dr.Slaa ni moja ya wahusika. Sifahamu kashitakiwa kwa kosa gani wana JF.

Na kama alihusika kupanga uhaini ni kosa, ama aombe asemehewe au atafia jela.
Kuna mtu hafi? Wewe unajua utafia wapi?

Mwache afie huko ndipo chemichemi ya baraka kwa watanganyika itatokea.
 
Back
Top Bottom