Proved
JF-Expert Member
- Sep 10, 2018
- 32,639
- 42,908
Uhaini ni vitendo sio maneno tuKwani Kosa la Dr.Slaa ni lipi? Juzi niliona Clip Rais ana sema "Rais wa Tanzania haondolewi hivyo mnavyopanga huko mitaani, na uzuri mipango yenu yote na kila mlichoongea ninacho"
Nikahisi labda Dr.Slaa ni moja ya wahusika. Sifahamu kashitakiwa kwa kosa gani wana JF.
Na kama alihusika kupanga uhaini ni kosa, ama aombe asemehewe au atafia jela.