Mbinu hii ikitumika, Dr SLAA anatoka gerezani siku mbili

Nani aandamane hapa tanzania
 
Trump anajiona ndio Alfa na omega wa Dunia na Abdul na mamiye inakuwa hivyo Bongolalania
 
Hilo la tatu hilo ndio suluhisho la mambo yoote hapa nchini. Tukiliweza hilo, basi.
 
Slaa huyuhuyu aliyekuwa chawa wa Jiwe? A two headed serpent, akiahidiwa ubalozi anameza tena matapishi yake. Mzee huyo ni opportunist kwa asilimia zote, sasa kawapata wanye akili fupi wameshasahau alivyosaliti mapambano na akageuka chawa wa Mwendakuzimu.
 
Wao watangaze waone, maana wakishatangaza itakuwa ishara tosha, Dr. Slaa hata akifa kwa mapenzi ya Mungu basi kitanuka.
Kwa Tanzania hakiwezi kunuka na haitakuja kutokea, labda kitanuka mitandaoni kwani keyboard warriors wamejaa mno.
 
Eti Slaa mtetezi wa kweli wa watanzania, mavi ya stendi!! Alipopewa ubalozi we ulikuwa hujazaliwa naona!! Slaa ni opportunist tu, akikosa Tonge anaanza ropo ropo, sasa kajishika pabaya na hii kesi ananyea ndoo!!
 
Unaishi miaka ya 70s wewe. Ile miaka watu walikuwa wanatembea na vipande vya mbao mfukoni wakijifanya ni ma-spy wamebeba radio call.
Yuko Tinde huko kapewa uenyekiti wa kijiji basi imeshakuwa tabu, choko sana huyo zoba.
 
We utaandamana?
Kama kweli lianzishe wewe tukufate.
Ilisemwa Lisu akiingia atalimaliza hili. Vp amefikia wapi?
 
Labda wanataka Dr.Slaa afie mahabusu halafu ndio waanze kujifanya kuwa mstari wa mbele kutuma rambi rambi na kumsifia sifia marehemu.

Lissu pia walituma watu wakamuue halafu walikuwa wameshaandaa speech nzito nzito wakati wa mazishi za kumsifia sifia.
 
Wao watangaze waone, maana wakishatangaza itakuwa ishara tosha, Dr. Slaa hata akifa kwa mapenzi ya Mungu basi kitanuka.
Si utangaze wewe! Unataka nani akutangazie?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…