Mbinu hii ikitumika, Dr SLAA anatoka gerezani siku mbili

Uhaini ni vitendo sio maneno tu
 
Mpuuzi wewe. Uzanzibari umehusu nini. Acha ubaguzi.
Kulinda nchi ni uzalendo siyo ubaguzi. Kuruhusu raia wa kigeni kuwa rais ni uboya.

Ndiyo maana nchini Zanzibar ni marufuku kwa mtanganyika kugombea nafasi yoyote, hata ujumbe wa nyumba kumi.

Na ni marufuku mtanganyika kununua kipande cha ardhi ya nchi hiyo hata ya kujenga choo.
 
Wewe unajifurahisha tu kuitoa serkali ya kidhalimu madarakani siyo rahisi kama unavyo zani.Unazani unaweza kuitoa serikali kama hii kwa vimaandamano vya Watanzania hawa. Sisi tukubali tu ni matutusa tunyolewe. Hakuna mtanzania wakuandamana Mbele ya SmG wewe. Uturuku waliweza tena mbele ya Mizinga wanajeshi waliua kama watu 200 wakasurenda soyo Tanzania.
 
Kuna mtu hafi? Wewe unajua utafia wapi?

Mwache afie huko ndipo chemichemi ya baraka kwa watanganyika itatokea.
Hahaha hatasijui kama atakufa, nimeshauri tu, kwa umri wake anateseka kukimbizwa mahabusu kila siku, ndio nikasema kama ni hivyo aombe msamaha kwa alichotenda, asamehewe, vinginevyo watamsababishia kifo huko mahabusu.
 
What has she got to do with this?!。
P
A lot. She preaches human rights and does nothing about it. What name does one give a human being who tortures a fellow human being of that age before completion of the relevant investigations, contrary to known provisions of the law!! Sadist ...loh!
 
Mbona hamueleweki, si mlisema Mbowe ndiyo amemfunga Slaa?
Sasa iweje mumsakame SSH?
 
Mpuuzi wewe. Uzanzibari umehusu nini. Acha ubaguzi.
Neno mpuuzi, kw tafsiri rahisi ni tusi. Humu Jf wapo waungwana na wengineo. Lkn ni ukweli mtupu kuwa, kwa mujibu wa katiba ya Zenji, mama ni Mzanzibari na hilo halifutiki - G4N awe mpuuzi au msema kweli ...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…