Mbinu ya awali kujua kama unalea mtoto wako au wa mwanaume mwenzio

Acha kujifariji ndugu umesha ibiwa, nenda tu DNA test ukapate uhakika. Kilichokuwa kinakulaza laza ni minyoo, Malaria na U.T.I wala sio muunganiko wa mtoto [emoji23][emoji23]
 
Acha kujifariji ndugu umesha ibiwa, nenda tu DNA test ukapate uhakika. Kilichokuwa kinakulaza laza ni minyoo, Malaria na U.T.I wala sio muunganiko wa mtoto [emoji23][emoji23]
Hiyo minyoo na uti iliisha wapi mkuu mbona now fresh
 
Hii noma mkuu
Noma zaidi ni hii,

Wazee wa zamani wenye wake wengi wakitaka kuthibitisha anamchukua dogo angali utosi unapumua, usiku wa mbalamwezi imechoza anatoka nae nje, anamgusisha kichwa cha mboo utosini, kama mtoto sio wake anakata moto papo hapo.

Niliisikia wazee watu wazima wakiizungumzia pahala.

Duniani kuna mambo.

Sent from my SM-A205F using JamiiForums mobile app
 
Sema watu wabishi tu mkuu
 
Kipimo cha kuaminika nje ya DNA ni blood test. Mtoto akiwa wako lazma damu zenu ziendane ila zikiwa kinyume tu jua umepigwa kama Ngoma.
 
Umeongea ukweli mtupu! Wajinga wengi kwasababu wamepigwa hawataki kusikia hii mambo
 
Kipimo cha kuaminika nje ya DNA ni blood test. Mtoto akiwa wako lazma damu zenu ziendane ila zikiwa kinyume tu jua umepigwa kama Ngoma.
Anza na cha nafsi huna haja ya kwenda kwenye DNA huko kumekaaa kisiasa so utapigwa tu
 
Jaribu kumsema mtoto wako chini ya miaka 2 au 3,
Mfano akifanya Jambo lolote baya mkaripie au mkataze kwa kile anachokifanya,

--Kama ni damu yako mtoto ataacha anachokifanya na kuanza kulia na baadae atatulia.

--Kama sio damu yako utashtukia umepigwa na fagio,kiatu,
Au chochote kilichopo karibu yake.

Hiyo ni DNA proved kabisa..

Sent from my 2201117SG using JamiiForums mobile app
 
Walio pigwa watabisha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…