Mbinu ya Maisha kwa vijana: Kataa Mwanamke Masikini

Sasa naelewa kwann vitendo vya ushoga vinakua kwa kasi sana!
Yan mwanaumee kabisaa unaogopa kupambana kimaisha unataka ulelewe?

Shubamitiiiii
 
Kwanza kama Huna pesa Achana na wanawake, sahau story za kuoa.
Tafuta maisha then fikiria kumiliki mtu utakayemudu kumlisha na kamvisha, hata heshima utaipata vizuri tu.
True story niliona YouTube:
Kuna mzungu mmoja alikuwa anafanya kazi kwenye kampuni iliyokuwa ikimlipa vizuri, huyo mzungu alienda ufilipino kikazi, aka-fall in love na mdada wa kifilipino, huyo mzungu alijengea ghorofa ndugu wa huyo mdada, mdada kila mwezi alikuwa anapewa USD 1000 za kutumia, alilipiwa kodi ya nyumba kwenye best neighborhoods kule ufilipino, na kuwekewa mfanyakazi wa ndani. Wakazaa mtoto mmoja.

LAKINI:
Huyo mdada alikuwa ana-cheat na security man mmoja ambaye mshahara wake wa mwaka mmoja ndo hela anayopewa huyo mdada kwa mwezi, dada alimnunulia hadi pikipiki huyo mcheps wake, Maza wa huyo mzungu alimshtukia bidada kuwa yuko na mwanae kimaslahi, kwan ilikuwa bidada akishikwa mkono na jamaa, mdada anautoa mkono wake Fasta, mwishoni huyo mdada na mcheps wake wakamuua mzungu wa watu ili warithi mali..Sahivi dada na mcheps wake wanatumikia life sentence in prison

So kuwa na hela sio guarantee ya kupata heshima toka kwa mwanamke Zesh Cute Wife
 
Hatujasema ni kwa asilimia 100%
Ila asilimia kubwa mwanamke hakupi heshima kama Huna chochote, kiasili sisi tuna ubinafsi ndani yetu.
 
Tangu enzi za mababu heshima ya mtu ni kazi [emoji123]
Mwanamke lazima naye awe mzalishaji mali.

Zamani Wakati wa kutafuta mke alikuwa anaangalia binti chapakazi, anayejua kulima hasa, mzalishaji mali.

Na sio kushinda nyumbani kufanya shughuli nyumbani tu la hasha!

Lazima ikawe Sawa kwenye mindsets zetu.

Mwanaume na mwanamke wote wameagizwa kufanya kazi kuzalisha mali.
 
Haya ndiyo maneno sasa.
 
 
Anaweza kua maskini wa Mali lkn tajiri wa akili. ..ukifuata Mali nenda Masaaki. .O'bay lkn wengi vichwani zero. ..tafuta alie na akili simali
 
Man down... Mtoa mada anataka kitonga, kwaiyo unataka kutuambia mama ako alimlea baba ako alafu nyie ndo mnafanya tuonekane wanaume makali yameisha ivi unajiita mume ndani unawezaje kufanya ilo jambo huvijui ivyo viumbe bwamdogo.. uo ni ugaygay
Acha ubwege nawe bro! Usichoelewa ni kipi hapo? Ada za watoto zimekuchanganya au?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…