Mbinu ya Maisha kwa vijana: Kataa Mwanamke Masikini

Mbinu ya Maisha kwa vijana: Kataa Mwanamke Masikini

Hubrus....,

Imetokea kasumba ya watu kutaka kuwapangia watu maisha au kudhani wanachopenda wao au kinachofanya kazi kwao ni universal..., Yaani wanadhani maisha yana kanuni ni hakuna variables bali constants...

Yaani Ukifanya Hiki + Ukifanya Kile - Usipofanya Hiki = Utapata Hiki; Kwamba hayo yote ni constant kwa kila mtu, Kumbe hayo yote ni Variables...

To each his her own.....

By the way Umasikini ni Nini;
Tabia ? , hali ambayo inabadilika au ni constant kwamba hali hii haibadiliki
Abaki na uchoyo wake mwenyewe
 
Sasa safari hii hili pilau tuhakikishe tunakula!tutapewa kilema tukimkimbia na shemeji huyu,maana Nimeona kila mtaa wachunba wapya wanakunyemelea[emoji1787]

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Ajitahidi kukamilisha taratibu mapema lasivyo ataachwa
 
Vijana wa Kiume wengi wanapenda Sana kuanzisha mausiano na mwanamke kisa ni mzuri, Ana takle Mara mwonekano wa weupe yote sawa Ila kuweni na Akili Acha kabisa kutongoza mwanamke maskini Kama maisha yako ni ya kuunga unga huna mifereji ya pesa za kuelewaka tumia akili.

Kuchukua Mwanamke maskini ni sawa na kuamua kubeba msalaba wake kila hitaji lake atakuletea ww, vocha kusuka mirasta ya 30k. Kula kila kitu' Hadi kuvaa.

Skia huo' ni uiinga ndio maana wanawake wapo tayari kutembea na kibabu hawaangalii mwonekano .
Chukua mwanamke mwenye pesa, au life la kuleweka.

Anatumia zake na ww unatumia zako Hakuna kubeba msalaba wa mtu mwingne. Mwanamke maskini Akae mbali na mm kabisa 'hata soda ninunue mm alaaah ujinga huo'.

Maisha ni Akili ukiwa fala wa hisia za Mapenz utalia kila siku kumbe unaongozwa na sexual homon badala ya Brain.

#Kataa Mwanamke Maskini.
Kupanga ni kuchagua.
 
tafuta hela.
 
Mwanamke na Mwanaume wote wameagizwa kufanyakazi na kuzalisha Mali na kuepuka utegemezi.
 
Ni kweli maskini walio wengi huwa na tabia za uchawi na ushirikina.

Mwanaume lazima urogwe na nduguzo .

Anajua iwapo ukimwacha hatapata pa kwenda na kupata kujikimu mahitaji yake ya msingi hivyo anaamini katika kukuroga tu.
 
Back
Top Bottom