Mbinu ya Maisha kwa vijana: Kataa Mwanamke Masikini

Mtoa mada Unaonekana ni bwana mdogo Bado,huna experience ya maisha zaidi ya hisia zako za ujana tu...una safari ya kujifunza.
 
Andiko lako umelitoa kwenye kitabu gani? Wewe sema huna pesa bro
Mwanamke kiasili sio mtafutaji, ukikuta sio maskini basi ni jambo zuri. sisi ndio tunapaswa kumuwezesha mwanamke

Ukutane na demu kama cute wife alafu uanze kujiuliza ni maskini au tajiri, ili iwe nini?
 
Umeongea utumbo. Demu kama cute wife unaanzaje kumkataaa hata awe maskini?
 
Mwanamke kiasili sio mtafutaji, ukikuta sio maskini basi ni jambo zuri. sisi ndio tunapaswa kumuwezesha mwanamke

Ukutane na demu kama cute wife alafu uanze kujiuliza ni maskini au tajiri, ili iwe nini?

[emoji419] Kwa hii point leo nakupa yoteee [emoji2222]
 
Binafsi, nachoangalia kwa mwanamke wa kumuoa ni
1)uzuri
2)nimzidi umri na urefu
3)tako
4)tabia yake (jinsi anavyo-watreat wengine), na
5)upendo wake kwangu..

sasa kupata perfect balance ya ivo vigezo apo juu toka kwa mwanamke imenishinda, pesa ya mwanamke itanisaidia nini?

Last but not least, huyo mwanamke asinipendee hela..

Maana yake vijana waoe wanawake wazee?

Vijana wa chuo siku hizi mna akili za hovyo sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…