Lamomy
JF-Expert Member
- Sep 4, 2023
- 25,425
- 59,309
Hapo chacha 🤣🤣🤣We njaa kali tu huna busines card wala nini
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapo chacha 🤣🤣🤣We njaa kali tu huna busines card wala nini
Namba ya kukuwekea usiweke hapa. Tupia PM. Niweke heshimaSa si utume kutoka bank kwenda kwenye simu.
Mi sina pesa ya kuhifadhi kwenye account[emoji28]
Unasupport hilo swala jamani..? HahahHapo chacha 🤣🤣🤣
Wala.... si kweli.Hao wote walikuwa malayas
Wazee wa MAHARAGE CHANDE ana Biashara gani.. anakunya wapi..Ndani ya masaa mawili uzi una reply 100, hivi ndo vitu tuvipendavyo sisi nashangaa mnajichosha na masuala ya katiba mpya
Kama kawa😀Hamna noma... na Masanga unatumia?
Hii Daslam sio ya Mbagala Charambe kweli?Anhaaa sasa mie nipo DASLAMU ila chugga nakuja Mwez wa 11.. nikija unipe company sawa?
Aisee isije ikawa ni utani bana. Nitanyong"onyea ujueNamba ya kukuwekea usiweke hapa. Tupia PM. Niweke heshima
Mie usafiri naoupenda ni Daladala, gari ninayo.Kwanini unapatia madem kwenye daladala chali yangu utamiliki gari kweli??
"Ahh.. huyu demu wake nani...ananipa midadi antafuta lawama.. mwambieni bhana.."Kama kawa😀
Tutampokea kwa bashasha tukiwa tumeshikana mikonoUmeharibu, bora ungenyamaza aje kushtukia anapokelewa na watu wawili aishiwe poze na zirudi tumboni😂😂😂
Tabata hii mzee wangu BATA lilipozaliwa mjini DarusalemHii Daslam sio ya Mbagala Charambe kweli?