Mwanzo ulisema miaka 25 sasahivi unasema miaka 34, mbona ni kama cases mbili tofauti maana mtu wa miaka 25 ndio kwanza anaanza maishaBaba kuwa masikini haina maana kwamba vijana wake wasijitegemee.
Kushindwa kujitegemea ni uvivu wa mtu.
Sio wote matajiri ni watoto wa Bakhresa.
Kujitegemea ni hatua ngumu ambayo vijana wavivu huikimbia na kutafuta visingizio ati baba hakuniandalia mazingira.
Mzazi aliyekukuza, una nguvu na akili unashindwa kujilisha unamlalamikia baba yako
Mzee ana miaka 70 akulishe kijana wa miaka 34
Lazima nikufukuze ukashitaki mahakamani udai haki yako hiko
In most cases, mtoto kwa mzazi hakui hii ina apply kwa mama na kwa baba mwenye sifa za ushua lakini sio kwa baba mwenye sifa za ubandidu kama mwenye uzi.Eti mtoto kwa baba hakui.
Hata bakora piga tu...na kwa kijana asiyejielewa haina sababu ya kupepesa macho..fukuza tu.Kwa vijana wanajipambania na kukwama hao Sina shida nao
Shida yangu ni wale wapo wanabweteka hawajitumi kabisa
Hao laZima tuwakemee bila aibu
Ushetani unawavaaa na kujibu majibu ya kiuajiAkimaliza masomo tu badilisha mfumo wa maisha kabia juu kama Mourinho piga 4-4-2 akiamka asubuhi akute chai kavu vitafuno anunue kwa hela yake, mchana ugali mkavu mboga akanunue samaki ya kulumamgia mwenyewe, akienda kuoga subiri ajipake mapovu usoni kata maji asioge kama anaoga na ndoo weka upupu
Sio tu kumwambia amlipie na Kodi ya mwaka mzima ampe na mtaji wa kufanyia biashara anayoitakaNi kumwambia tu "umekuwa mtu mzima, toka ukapange" tunakupa tu miezi miwili.
Haya ni mauaji sasa 😂😂Akimaliza masomo tu badilisha mfumo wa maisha kabia juu kama Mourinho piga 4-4-2 akiamka asubuhi akute chai kavu vitafuno anunue kwa hela yake, mchana ugali mkavu mboga akanunue samaki ya kulumamgia mwenyewe, akienda kuoga subiri ajipake mapovu usoni kata maji asioge kama anaoga na ndoo weka upupu
Kijana wa miaka 25 ashakuwa mtu mzimaMwanzo ulisema miaka 25 sasahivi unasema miaka 34, mbona ni kama cases mbili tofauti maana mtu wa miaka 25 ndio kwanza anaanza maisha
Mi nahisi hiyo 34 unaitaja ili kukuza tu mambo ionekane mtoto hadi anakuwa mbaba bado hajahama kwao
Vipi kuhusu case ya miaka 25? Vipi kama kijana anajipanga ili aanze kujitegemea akiwa na miaka 26? Utamfukuza kabla hajajiandaa?
Hapo sawaKijana wa miaka 25 ashakuwa mtu mzima
Ana nguvu na akili za kijitafuta na kujenga familia yake
Kama kweli atakuwa anapambana na anakosa huyo anavumilika ila sio wale wanaamka wanabweteka na fashion na kubet tu
Ngoja aje Njombe tunakusahauJamii yetu imekuwa na vijana wa ovyo na walegevu mno
Furahia ya wazazi ni kuona kijana wao anapambana na kujitegemea.
Wazazi wanapenda wafurahie uzee wao bila kubanwa na nyie watoto, wazee wanahitaji wakae sebuleni wapate mabusu moto moto, Sasa jitu zima upo kwenu kuwabana wazazi
Kijana anafikia miaka 25+ Bado yupo Kwa wazazi, anakula Kwa wazazi, analala Kwa wazazi na hapo hana mpango wa kuoa, kuwa na biashara au kazi ya uhakika
Wazazi wetu walitumia mbinu hizi na vijana tuliondoka nyumbani bila kupenda na kwenda kujitegemea
1. Fanya chumba cha kijana kuwa stoo.
Yaani hapa weka mahindi, karanga, maharage, huko usiku atapambana na panya na mende,
Akili itamjaa ataamua kujitegemea
2. Hifadhi mziga wa nyuki humo chumbani,
Ataondoka tu
3. Mpangie muda wa kurejea nyumbani, mfano mpangie hapo kwako kabla ya saa 1 usiku kila mtu awe nyumbani akizidi hapo atafute pa kulala
Vijana wanapenda uhuru akiukosa kwako laZima autafute pengine
4 Mnyime uhuru wa kutumia vitu vidogo kama redio na TV
5 Mpe maneno ya fedheha
Mfano jitu zima unakula ugali wa mama
6. Vunja kitasa cha mlango, mfanyie upekuzi wa Siri zake.
Kwa mbinu hii ya maudhi laZima akupishe
7 weka mifugo kama kuku na bata humo chumbani
Jogoo wakiwika alfajiri ataamka na hakika atakupisha hapo kwako uzidi kufurahia uzee na mama yake
8 Usimpe chakula cha kutosha
9 Nuna/ kasirika bila sababu
Usimchekee vaa sura ya kamanda Mliro muda wote
Hapo laZima aondoke
10. Mpe majukumu ya house girls
Aoshe vyombo, afagie, akusanye mayai n.k
Hapo laZima aondoke
11. Akiamka akute chai kavu, mchana mpe ugali bila mboga, usimnunulie loshen akioga apauke kama nguruwe pori
Hapo laZima akili itamkaa aamke kusaka mkate na atakushukuru baadaye
Unashauriwa kitaalamu ikiwa hauna urithi na mali za kumpatia mtoto utakayemzaa usizae kabisa.Jamii yetu imekuwa na vijana wa ovyo na walegevu mno