proton pump
JF-Expert Member
- Apr 30, 2017
- 7,616
- 11,854
Watu wenye pesa watoto wao wengi wao ni mazezeta...Hivi ungejaaliwa kuwa na fedha nyingi ? Ungewaza kumfukuza home mwanao wa kumzaa?
Hizi ni roho za kichawi....unaanza uchawi kwa watoto uliowazaa kabla ya kuzeeka.Jamii yetu imekuwa na vijana wa ovyo na walegevu mno
Furahia ya wazazi ni kuona kijana wao anapambana na kujitegemea.
Wazazi wanapenda wafurahie uzee wao bila kubanwa na nyie watoto, wazee wanahitaji wakae sebuleni wapate mabusu moto moto, Sasa jitu zima upo kwenu kuwabana wazazi
Kijana anafikia miaka 25+ Bado yupo Kwa wazazi, anakula Kwa wazazi, analala Kwa wazazi na hapo hana mpango wa kuoa, kuwa na biashara au kazi ya uhakika
Wazazi wetu walitumia mbinu hizi na vijana tuliondoka nyumbani bila kupenda na kwenda kujitegemea
1. Fanya chumba cha kijana kuwa stoo.
Yaani hapa weka mahindi, karanga, maharage, huko usiku atapambana na panya na mende,
Akili itamjaa ataamua kujitegemea
2. Hifadhi mziga wa nyuki humo chumbani,
Ataondoka tu
3. Mpangie muda wa kurejea nyumbani, mfano mpangie hapo kwako kabla ya saa 1 usiku kila mtu awe nyumbani akizidi hapo atafute pa kulala
Vijana wanapenda uhuru akiukosa kwako laZima autafute pengine
4 Mnyime uhuru wa kutumia vitu vidogo kama redio na TV
5 Mpe maneno ya fedheha
Mfano jitu zima unakula ugali wa mama
6. Vunja kitasa cha mlango, mfanyie upekuzi wa Siri zake.
Kwa mbinu hii ya maudhi laZima akupishe
7 weka mifugo kama kuku na bata humo chumbani
Jogoo wakiwika alfajiri ataamka na hakika atakupisha hapo kwako uzidi kufurahia uzee na mama yake
8 Usimpe chakula cha kutosha
9 Nuna/ kasirika bila sababu
Usimchekee vaa sura ya kamanda Mliro muda wote
Hapo laZima aondoke
10. Mpe majukumu ya house girls
Aoshe vyombo, afagie, akusanye mayai n.k
Hapo laZima aondoke
11. Akiamka akute chai kavu, mchana mpe ugali bila mboga, usimnunulie loshen akioga apauke kama nguruwe pori
Hapo laZima akili itamkaa aamke kusaka mkate na atakushukuru baadaye
Wewe una akili ndogo sana ...familia ni kitu cha kijama ...familia mnatakiwa kushirikiana kukuza uchumi wa familia ...familia ni kuwezeshana ...ukisikia mzazi anamfukuza mtoto wake huyo ni mzazi mpumbavu ambaye akuwajibika ipasavyo kuifanya familia kuwa na umojaJamii yetu imekuwa na vijana wa ovyo na walegevu mno
Furahia ya wazazi ni kuona kijana wao anapambana na kujitegemea.
Wazazi wanapenda wafurahie uzee wao bila kubanwa na nyie watoto, wazee wanahitaji wakae sebuleni wapate mabusu moto moto, Sasa jitu zima upo kwenu kuwabana wazazi
Kijana anafikia miaka 25+ Bado yupo Kwa wazazi, anakula Kwa wazazi, analala Kwa wazazi na hapo hana mpango wa kuoa, kuwa na biashara au kazi ya uhakika
Wazazi wetu walitumia mbinu hizi na vijana tuliondoka nyumbani bila kupenda na kwenda kujitegemea
1. Fanya chumba cha kijana kuwa stoo.
Yaani hapa weka mahindi, karanga, maharage, huko usiku atapambana na panya na mende,
Akili itamjaa ataamua kujitegemea
2. Hifadhi mziga wa nyuki humo chumbani,
Ataondoka tu
3. Mpangie muda wa kurejea nyumbani, mfano mpangie hapo kwako kabla ya saa 1 usiku kila mtu awe nyumbani akizidi hapo atafute pa kulala
Vijana wanapenda uhuru akiukosa kwako laZima autafute pengine
4 Mnyime uhuru wa kutumia vitu vidogo kama redio na TV
5 Mpe maneno ya fedheha
Mfano jitu zima unakula ugali wa mama
6. Vunja kitasa cha mlango, mfanyie upekuzi wa Siri zake.
Kwa mbinu hii ya maudhi laZima akupishe
7 weka mifugo kama kuku na bata humo chumbani
Jogoo wakiwika alfajiri ataamka na hakika atakupisha hapo kwako uzidi kufurahia uzee na mama yake
8 Usimpe chakula cha kutosha
9 Nuna/ kasirika bila sababu
Usimchekee vaa sura ya kamanda Mliro muda wote
Hapo laZima aondoke
10. Mpe majukumu ya house girls
Aoshe vyombo, afagie, akusanye mayai n.k
Hapo laZima aondoke
11. Akiamka akute chai kavu, mchana mpe ugali bila mboga, usimnunulie loshen akioga apauke kama nguruwe pori
Hapo laZima akili itamkaa aamke kusaka mkate na atakushukuru baadaye
Hata wewe ukiwa mwanangu mvivu nakufukuzaYani kama ndo unaweza kufukuza mtoto hovyo ww mnyambwa basi hufai kabisa...endelea kupiga puli...😊😊😊
Msyuuuu😙😙😙Hata wewe ukiwa mwanangu mvivu nakufukuza
Unakaa kwangu hadi miaka 38 ati kwakuwa nilikuzaa
Sijui hupati support
Anyway nakupenda sana beiby ikikupendeza naomba unizalie
Una akili za kimaskini sana ,poor mindsetJamii yetu imekuwa na vijana wa ovyo na walegevu mno
Furahia ya wazazi ni kuona kijana wao anapambana na kujitegemea.
Wazazi wanapenda wafurahie uzee wao bila kubanwa na nyie watoto, wazee wanahitaji wakae sebuleni wapate mabusu moto moto, Sasa jitu zima upo kwenu kuwabana wazazi
Kijana anafikia miaka 25+ Bado yupo Kwa wazazi, anakula Kwa wazazi, analala Kwa wazazi na hapo hana mpango wa kuoa, kuwa na biashara au kazi ya uhakika
Wazazi wetu walitumia mbinu hizi na vijana tuliondoka nyumbani bila kupenda na kwenda kujitegemea
1. Fanya chumba cha kijana kuwa stoo.
Yaani hapa weka mahindi, karanga, maharage, huko usiku atapambana na panya na mende,
Akili itamjaa ataamua kujitegemea
2. Hifadhi mziga wa nyuki humo chumbani,
Ataondoka tu
3. Mpangie muda wa kurejea nyumbani, mfano mpangie hapo kwako kabla ya saa 1 usiku kila mtu awe nyumbani akizidi hapo atafute pa kulala
Vijana wanapenda uhuru akiukosa kwako laZima autafute pengine
4 Mnyime uhuru wa kutumia vitu vidogo kama redio na TV
5 Mpe maneno ya fedheha
Mfano jitu zima unakula ugali wa mama
6. Vunja kitasa cha mlango, mfanyie upekuzi wa Siri zake.
Kwa mbinu hii ya maudhi laZima akupishe
7 weka mifugo kama kuku na bata humo chumbani
Jogoo wakiwika alfajiri ataamka na hakika atakupisha hapo kwako uzidi kufurahia uzee na mama yake
8 Usimpe chakula cha kutosha
9 Nuna/ kasirika bila sababu
Usimchekee vaa sura ya kamanda Mliro muda wote
Hapo laZima aondoke
10. Mpe majukumu ya house girls
Aoshe vyombo, afagie, akusanye mayai n.k
Hapo laZima aondoke
11. Akiamka akute chai kavu, mchana mpe ugali bila mboga, usimnunulie loshen akioga apauke kama nguruwe pori
Hapo laZima akili itamkaa aamke kusaka mkate na atakushukuru baadaye
Wabantu vichwa vikubwa akili bogus , Mnatomb@n@ na kuzaa kama panya ila kwenye kuwajibika kuwaandalia watoto future yao ya kiuchumi hamna ,Kenge kabisa ninyi ,halafu mnataka hao watoto waje wawatunze baadaye , hamjifunzi kwa wahindi ,waarabu ,wasomali nk ?Jamii yetu imekuwa na vijana wa ovyo na walegevu mno
Furahia ya wazazi ni kuona kijana wao anapambana na kujitegemea.
Wazazi wanapenda wafurahie uzee wao bila kubanwa na nyie watoto, wazee wanahitaji wakae sebuleni wapate mabusu moto moto, Sasa jitu zima upo kwenu kuwabana wazazi
Kijana anafikia miaka 25+ Bado yupo Kwa wazazi, anakula Kwa wazazi, analala Kwa wazazi na hapo hana mpango wa kuoa, kuwa na biashara au kazi ya uhakika
Wazazi wetu walitumia mbinu hizi na vijana tuliondoka nyumbani bila kupenda na kwenda kujitegemea
1. Fanya chumba cha kijana kuwa stoo.
Yaani hapa weka mahindi, karanga, maharage, huko usiku atapambana na panya na mende,
Akili itamjaa ataamua kujitegemea
2. Hifadhi mziga wa nyuki humo chumbani,
Ataondoka tu
3. Mpangie muda wa kurejea nyumbani, mfano mpangie hapo kwako kabla ya saa 1 usiku kila mtu awe nyumbani akizidi hapo atafute pa kulala
Vijana wanapenda uhuru akiukosa kwako laZima autafute pengine
4 Mnyime uhuru wa kutumia vitu vidogo kama redio na TV
5 Mpe maneno ya fedheha
Mfano jitu zima unakula ugali wa mama
6. Vunja kitasa cha mlango, mfanyie upekuzi wa Siri zake.
Kwa mbinu hii ya maudhi laZima akupishe
7 weka mifugo kama kuku na bata humo chumbani
Jogoo wakiwika alfajiri ataamka na hakika atakupisha hapo kwako uzidi kufurahia uzee na mama yake
8 Usimpe chakula cha kutosha
9 Nuna/ kasirika bila sababu
Usimchekee vaa sura ya kamanda Mliro muda wote
Hapo laZima aondoke
10. Mpe majukumu ya house girls
Aoshe vyombo, afagie, akusanye mayai n.k
Hapo laZima aondoke
11. Akiamka akute chai kavu, mchana mpe ugali bila mboga, usimnunulie loshen akioga apauke kama nguruwe pori
Hapo laZima akili itamkaa aamke kusaka mkate na atakushukuru baadaye
Acha ushamba kuna jamii za wasomali na waarabu ni za maisha ya kawaida tu ila wanaishi na familia zao babu , watoto mpaka wajukuu nyumba mojaWewe ni mtoto wa Bakhresa au Mo Dewji?
Kwanini ujilinganishe na mabwenyenye ikiwa unaijua hali ya familia yako ambayo inategemea labda wewe ndo utakuwa shujaa wao
Baba ako kakutunza umekuwa jitu zima Bado hutaki kupambana kujitegemea unalalamika urithi mara mtajiWabantu vichwa vikubwa akili bogus , Mnatomb@n@ na kuzaa kama panya ila kwenye kuwajibika kuwaandalia watoto future yao ya kiuchumi hamna ,Kenge kabisa ninyi ,halafu mnataka hao watoto waje wawatunze baadaye , hamjifunzi kwa wahindi ,waarabu ,wasomali nk ?
Ulilazimishwa kuzaa huyo mtoto ? ,kwanini hutaki kuwajibika kumsaidia kusimama kiuchumi ili aweze kujitegemea
Wewe na kichwa kikubwa kama bogus , unalinganisha supporting structures za nchi za kizungu na nchi zenu shithole countries hizi ? ,hivi unajua nchi za wazungu mtu asiye na ajira wala kipato analipwa pesa za kujikimu ? ,Kama ukifanya hivyo naye atakuwa anaweza kujenga za kutosha na kuwapa wanae? Hell No, aliyezoea kutafutiwa hataweza kujitafutia. Mkiwafanyia watoto hivi mtawaharibu. Wazungu wenyewe na akili zao hawafanyi huu ujinga wa waafrika matajiri wa kuwatafunia watoto kwa kuwajengea na kuwatafutia kila kitu na hivyo kuwafanya waishi kwenye comfort zone.
What a stupid question ? , FoolishWewe ni Msomali au Mwarabu?
Angalia wasomali ,waarabu na wahindi walivyomiliki uchumi wa hili li nchi lako shithole na wewe ni kama kijakazi peasant huna mbele wala nyuma na akili zako za kilofa hizo , una laana ya kimaskini imekuja kwenye akili , hao wasomali ,waarabu na wahindi ni jamii zenye maisha ya kawaida tu wengine na wana biashara ndogo na size ya kati ila angalia harakati zao kujenga multigenerational wealth inayokaa vizazi na vizazi , na kuandalia vijana wao misingi ya kiuchumi . Wale mtoto anakaa na wazazi mpaka atakapo taka kuhama yeye mwenyewe , najua huwezi elewa kwa vile wewe ni masikini wa fikra na kuna akili wala exposure .Ndio maana koo zenu zinakuwa na fukara miaka yote tangu babu mpaka kitukuu .Wewe ni Msomali au Mwarabu?
Acha kuzaa kama panya fala wewe , kama huna uwezo wa kuandaa misingi ya kiuchumi kwa kizazi chako ,funga zipi hiyo zezeta wewe.Baba ako kakutunza umekuwa jitu zima Bado hutaki kupambana kujitegemea unalalamika urithi mara mtaji
Yaani Mzee ana miaka 70 akulishe jibaba miaka 35?