Mbinu za utajiri ni ubahili, bila kuwa bahili sahau utajiri. Faida yake naiona

Acha uongo. Nina matajiri wana vimada 10. Na watoto 20. Kila kimada ana mtoto. Utajiri ninuwezo wa kupata kipato zaidi ya matumizi yako tu. Kama unadhani kutokula vizuri, kuishi vizuri, kisafiri vizuri ndio kutakujirisha vizuri, Sawa. Utajikuta unaviacha wakula ambao hawakuvichuma.
 
Imagine[emoji134][emoji134]
imagine wakati tunasoma tulikuwa tunashindia mihogo maugari maharage wazazi wakatuambia tukipata kazi tutakula tunachotaka,,,

eti saa hivi unafanya kazi unapata hela bado tena uanze kujitesaaa Aaaakh sasa huku duniani tumekuja kuteseka [emoji846][emoji3526]

Mimi walaaaah nikiwa na hamu ya mbuzi choma nitakula nikiona jeans kali nanunua ,,,, hela ikiisha nitatafuta nyingine,,

Mwili wangu first [emoji39]
 
asee ubahil sawa lakin nna ndugu yangu hatoi hata mia mwaka mzma ajui kuna mzaz anatakiwa bill ya maji umeme wala kingamuz ajabu mkikutana mwsho wa mwaka hata mboga ya skukuu hanunui na bado shat limepauka kama fundi bati sasa najiulza huyu anaweka hzo hela akalie mbingun au
 
Kusoma unajua? Hao tayari ni matajiri hivyo sawa tu wakiwa na vimada
Kuwa navyo wewe hapo uone
 

KWNY HARDWARE,
Mfuko wa cement,bati,nondo,Bulb,bulb holder,&switch huwaga vina net profit ya sh ngapi per each?

BTW, ukihitaji kijana mwaminifu wakukusaidia kuuza hapo dukan npo hapa. thanks
 
anyway kila mtu ana preference zake kwenye maisha ila ni hesabu ndogo tu. kipi heri kutumikia mtu kwa miaka 30 huku ukiwa na maisha average au kujitumikia miaka 10 kwa maana ya kujibana na kuishi maisha ya chini na miaka 20 iliyobaki ukaishi kifalme!?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hakuna biashara itayokufa, hapo Kama umenielewa ni kuwa baada ya ubahili Kuna hayo maisha ya Raha.
Wapi ambao tayari washafikia lengo na Sasa hivi wanakula Bata. Ila kwa vijana sisi basa hawa wenye below 40 ndio haswa walengwa

hapa nmeanza kuielewa ile slogan isemayo "life starts at 40"
 
Safi sana...na hayo ndo maisha kula vitu vizuri, sasa unatafuta hela za nini kama hufaidishi mwili wako?[emoji848][emoji849]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…