Mbinu za utajiri ni ubahili, bila kuwa bahili sahau utajiri. Faida yake naiona

Una hoja nzuri ,ila ingenoga zaidi , kama na maisha yangekuwa na uwezo wa kukusubiri umalize mambo yako.
Maisha hayana guarantee ,,
 
Achana na kufa, kuwa bahili Sana utanishukuru baadae
Kama huwazi kifo basi utakuwa nexr level
Wanao kufa ni mimi na wewe, hii ya kujitesa hadi kula hapana asee lazima niburudishe mwili na akili yangu maana sijui ni lini vitapoteza thamani.
 
Mkuu unaposema kujitesa unaamanisha nini?

Binafsi naona mtu kupambana na maisha halafu pesa zinaishia kutumika kwenye vitu vya matamanio tu yasiyo na msingi ni utumwa tu.
Its true mkuu...tubadilike kwakweli...
 
Ubahili anaouzungumzia mtoa mada ni wa matumizi ya vitu visivyo na lazima/ vitu vya matamanio ...

Lakini naona kama hawajaelewa alichokusudia, au wameamua kubadili tu mada..

Nieleweshwe labda sijamuelewa vyema.
Mkuu inaujua UBAHILI? Kimsingi hauna vitu vya matamanio hata vile muhimu ba vyenye maana hubifanyi huwa mtu Ana focus ktk kitu kimoja tuujj
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji23] lazima ni mangi huyo
😂😂😂
 
Hii ni mbinu inayotumiwa na wachaga miaka mingi, wapuuzi watabaki Wanasema tu hao ni Wezi, wachawi nk
mbinu hii ilitumika zamani , ubaya wake ni kuwa unaweza ukajitesa kutafuta pesa na mwishowe usizitumie
 
Una akili finyu kama za kwangu.. Mie kwenye kula sijawahi kuona ubahili..
Kwingine ubahili upo ila kupiga menu.. Linapokuja suala la msosi "SIREMBI MUANDIKO KWENYE IMLA"
 
We c receiver ...mtoto wa kike ..hata wakat wa sex unapokea ..sitakushangaa ukila bata , maana kwa wenye pesa we ndo bata mwenyewe wanae-mla ...ongeza bidii Kwenye ulaji bata ......
Khaaaa[emoji849]
 
Daah ila kwa wale vijana ambao ndio kwanza wanaanza wapo ktk utafutaji ukiwa bahili utaachwa kila siku na mademu


Ila ndio vizuri unaweza tofautisha kati ya makapi na material halisi
 
Kama ndani ya huo "ubahili" hakuna "ubatili" big up,kila la heri.
 

Mabeki 3 hapana asee wanashika mimba kirahisi kama simbilisi. unamlala sku1 na mimba inaingia hapo hapo. na hakunaga beki 3 tasa.😂😂
 
Mkuu umeongea mambo ya msingi sana, ambayo vijana wengi ni wachache sna huyaishi, pia kwako umeenda fasta tasta kutokana na position yako iko vzr yaan unapata kipato kizr so ata serving inakuwa ya kutosha,
 
Kwenye hii thread nimejifunza kitu kikubwa sana. Asante sana mdogo wangu.

Angalizo: Savings inahitaji DISCPILNE ya hali ya juu sana! na ki-uhalisia, hakuna savings ndogo wala kubwa! Hata ingekuwa shilling 5000 au 100000. Zote ni muhimu. Kikubwa uwe na malengo yako!

Asante sana mleta mada!
 
yaani ulale sehem ya hovyo ushindwe kula vizuri eti kisa baadae uje kuwa tajiri uo ni ukichaa,, hela unatafuta za nini sasa uku unaishi kwa kujitesa,,,

kula vizuri vaa vizuri lala sehemu nzuri,,, Ishi vizuri
kuna sehem kasema hali vizuri halali vizuri?wabongo bana..anakimbia machawa kama wewe hapo huchelewi ishia kula maisha kufa kwaja halafu unaagiza nusu kuku boss anakula chipsi kavu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…