Mbivu na Mbichi za kuzalishwa ukiwa bado ni Mwanafunzi wa Chuo

Sijui wao ,walitaka eti wamlete niishi naye Mimi wakati huo hakuna matunzo yoyote watakayotoa nikajizima data nikamkataa ,yaani nilee mtu mzima na mtoto wake alafu baba yake mtoto yupo na mama yake nikaona ni utumwa.
Ukimpa mimba mtoto wangu, jua wewe au baba yako au babu yako atatunza hao viumbe. Kwangu No! Mtoto wangu wa kiume akimpa mimba binti, mjukuu na mkwe natunza
 
Kuna ex wangu kazalishwa mwaka jana mwishoni ilibidi mwaka huu ndio amalize chuo...sahivi yupo tu kwao kazaa kwa sababu ya rafiki yake wanaitana BF forever(hahaha) kazaa naye akazaa anataka watoto wao wawe umri sawa.

Kabla ya kuzalishwa alinambia hizo habari nikamkataa ndio akaja ni hiyo surprise.
 
Nimemaanisha haina haja ya mzazi kujitesa kulipa mamilioni kwa tabu Mtoto asome EM halafu akifika Chuo anaenda kuwa malaya. Bora umsomeshe Kayumba afaulu kwa uwezo wake
We jamaa shule za kayumba unazijua au unaongea tu....kwa kifupi hizo shule za kayumba hasa primary kwa kizazi hiko wanaosoma wengi tabaka la chini ....huko mtoto wako lazima ajifunze tabia za ajabu.
 
We jamaa shule za kayumba unazijua au unaongea tu....kwa kifupi hizo shule za kayumba hasa primary kwa kizazi hiko wanaosoma wengi tabaka la chini ....huko mtoto wako lazima ajifunze tabia za ajabu.
Sio kweli
 
Nimemaanisha haina haja ya mzazi kujitesa kulipa mamilioni kwa tabu Mtoto asome EM halafu akifika Chuo anaenda kuwa malaya. Bora umsomeshe Kayumba afaulu kwa uwezo wake
Yes! Umeongea vema
 
Eeh ila mabint bana u BF
 
ulikosa wa kukutongoza,,,,πŸ€”
 
πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…hakuna tena mawazo ya kutimiza ndoto. Wazazi wanakatishwa tamaa sana.
 
We jamaa shule za kayumba unazijua au unaongea tu....kwa kifupi hizo shule za kayumba hasa primary kwa kizazi hiko wanaosoma wengi tabaka la chini ....huko mtoto wako lazima ajifunze tabia za ajabu.
Tatizo Juu ya tatizo
 
Hilo ndo boga lenyewe sasa
 
Ukimpa mimba mtoto wangu, jua wewe au baba yako au babu yako atatunza hao viumbe. Kwangu No! Mtoto wangu wa kiume akimpa mimba binti, mjukuu na mkwe natunza
πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
 
Huwa inavutia... Na walikuwa wanaenda photo shoot mara wapige wameshik matumbo...bas mie hoi🀣
Ila nashukuru mungu nilivuka
Inshallah in April NAMI ntaitwa mama bi idhnillahπŸ™
Ntaleta dhawadi πŸ‘πŸ»πŸ‘πŸ»πŸ‘πŸ»πŸŒ·πŸŒ·πŸŒ·πŸŒ·pokea maua yako.
 
Darasa letu mpk tumemaliza mwaka wa 3 tulikua na wazazi 5 including mapacha..sijui wanaendelaje kwa sasa ila wote mpk tunaanza kupotezana miaka mitatu nyuma..walikua ni masingo maza..maana wale waliowapa ujauzito walioa wengine...
Kuna somo kubwa hapo...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…