Mboga nisizopenda katika maisha yangu

Ila mostly napenda sana sana sana sana sana Ugali na mchuzi kama uliopo kwenye aviator yangu .

Sasa ule ugali unaukata kata unaudumbukiza kwenye mchuzi unakuwa kama nyama .

Tamu zaidi ya kumwaga *****.
 
Yaani mi sitaki NYANYACHUNGU toka nimezaliwa huwa wakipika naanzisha fujo hata nyumbani wanajua hilo...

Hata wapike vipi ila sitaki mimi na madude yote yenye kufanana na NYANYACHUNGU kama bilinganya sijui an sitaki kabisa
Wahenga tunatafuna nyanya chungu OG tena mbichi mchanganyiko na bamia 😁

Ubinadamu ni kazi/The humanity is a work.
 
Kuna uyoga kule Tabora unaitwa ulelema siupendi sana...

Sipendi mchicha, spinach, kabeji...

Napenda uyoga wa kuitwa kansolele huota kwenye vichuguu, napenda msusa, mlenda na kisamvu cha mawese...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…