Mboga nisizopenda katika maisha yangu

Wakati nalelewa nilikua sili kabeji,nyanya chungu,dagaa na vingine yani nilikua nachagua vyakula ila sasa hivi nakula mpaka mahindi ya kukaanga kwa hyo usijali life ndio linakuchagulia ulaje
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Wapeni watoto wenu wa kiume tu kisha mje kushangaa jinsi wanavyohaha kutungisha mimbaπŸ˜‚...

Sahizi kupata watoto wa kiume tu ishakuwa ishu yani. Unashangaa wewe na wadogo zako wote kila uzazi anazaliwa demu tu. Ipo siku watu wataongea kuhusu hili nahisi ipo shida mahala.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…