Wala hata π hizi amekua akipika bi mkubwa wangu toka nakua na mimi nikazipenda ndio napika hadi leo. Kuna bamia, biringanya ni mboga ambazo siwezi acha kula ingawa watu wengi wana bifu nazo.Huwa unafatilia hizo vipindi vyenu vya mapishi nini πππππ
Hata mimi sili njugu mawe, sijui watu wanazipendea nini.Eehwaaah ndio hizo hizo...Kwangu ni sumu
Kabichi naipendaga ikifanywa kama kachumbari, kuna namna inachanganywa na mayonaise inakuwa na fleva flani..Mbona tamu. Shida ni wengi wanaipika vibaya. Ni mboga yangu pendwa haipiti wiki bila kuipika.
Hayo mahindi kama korosho za kuchoma kwenye karaiπbora hata yangekua mabisi, ila yenyewe ni mahindi ya kukaanga kwenye mkaango
Wee bana weee mi unishawishi na hayo madude yako mana nakuona tuu πππππNimeona watu wenye pressure ya kupanda wanakula sn wanasema zinashusha. Nikimuona marehemu mama akizipika sn akisema zinamsaidia kwa pressure. Sa kipindi hiko mie ndio nlikuwa sizielewi na ule uchungu wake
Ed, I didn't know whether there is dagaa wa mwanza in UK and I do like your song tittled "bad habit"1.Mchicha. 2.Mlenda. 3.Kisamvu. 4.Dagaa wa mwanza. 5.Chinese. Hizi mboga sizielewi sijui kwa nini watu wanazipenda
Uko sahihiWakati nalelewa nilikua sili kabeji,nyanya chungu,dagaa na vingine yani nilikua nachagua vyakula ila sasa hivi nakula mpaka mahindi ya kukaanga kwa hyo usijali life ndio linakuchagulia ulaje
Duh! Kweli tunatofautiana, maziwa mgando naweza kunywa kila siku sharti yawe yamegandishwa vizuri.Sipendi maziwa ya mgando ingawa nikiwa kwenye mazingira magumu hakuna namna nyingine nayagonga kibishi.
Mi wa hapa hapa mkuu..Mbona unapikwa sana, sehemu kibao wanachanganya utumbo na mnafu/vu, we wa wapi mzeeπ€£
Maziwa mgando kwangu ni unyama kuliko maziwa fresh. Sharti niyaweke sukari tuSipendi maziwa ya mgando ingawa nikiwa kwenye mazingira magumu hakuna namna nyingine nayagonga kibishi.
Me too, ila niyaweke sukari tu. Yakiwa bila sukari hata uende ulaya utarudi utayakuta vile vileDuh! Kweli tunatofautiana, maziwa mgando naweza kunywa kila siku sharti yawe yamegandishwa vizuri.
Kiazi cheupe au unaongelea magimbi? π£Yap. Figili inaliwa raw, bila kupikwa. Na ina kiazi chake cheupe hivi kinawashawasha ila kuna watu wanakila pia.
Pole sn
Haya nyamaza sasa utapigwa wewe....Wala hata π hizi amekua akipika bi mkubwa wangu toka nakua na mimi nikazipenda ndio napika hadi leo. Kuna bamia, biringanya ni mboga ambazo siwezi acha kula ingawa watu wengi wana bifu nazo.
Utumbo na mnavu ni OG sanaπTena utumbo ukichanganywa na mboga za majani niwe na mtindi pembeni naweza kula kilo moja ya ugali.
No 2 Ni dawa ya vidonda vya tumbo ukiila bila kitafunio Ni ndani ya dakika tano utajiskia vizuri1.Mchicha. 2.Mlenda. 3.Kisamvu. 4.Dagaa wa mwanza. 5.Chinese. Hizi mboga sizielewi sijui kwa nini watu wanazipenda
Oysters unakula?Ndo' maana naishi popote na watu wa aina yoyote ile. Mimi kitakachopita mbele yangu twende kazi.
Sichagui chakula. Mavi tu ndiyo sili
Kikubwa tatizo la kukaukiwa maji kwa bibi utakuwa huna kabisa ππ Wewe ungekua unakaa na mimi ungekua ushaniua. Nyanyachungu na jamii yake nazipenda kama napika nyama, samaki au dagaa napenda kuchanganya.