Allen Kilewella
JF-Expert Member
- Sep 30, 2011
- 21,470
- 40,593
Wengine walishafanya hadi chafu na sasa wamefilisika🏃🏃Tanzania Kuna vyama zaidi ya 19 vya Siasa. CCM ndicho kinaongoza Serikali Kwa Sasa.
Vyama vingine nje ya CHADEMA na CCM mbona havifanyi siasa??
Wale ambao huwa wanaishutumu CHADEMA kuwa Iko mitandaoni tu mbona wao hawafanyi Siasa?
Ni tatizo!!!Wengine wote waliobaki ni CCM B,kazi yao ni kutoa matamko ya pamoja kuunga mkono juhudi
CCM wenyewe wamejaribu pumzi imekata mapemaaaa! Sio Chatanda Wala RitzTanzania Kuna vyama zaidi ya 19 vya Siasa. CCM ndicho kinaongoza Serikali Kwa Sasa.
Vyama vingine nje ya CHADEMA na CCM mbona havifanyi siasa??
Wale ambao huwa wanaishutumu CHADEMA kuwa Iko mitandaoni tu mbona wao hawafanyi Siasa?
Hivyo vyama vingine vipo hai nyakati za uchaguzi tu.Tanzania Kuna vyama zaidi ya 19 vya Siasa. CCM ndicho kinaongoza Serikali Kwa Sasa.
Vyama vingine nje ya CHADEMA na CCM mbona havifanyi siasa??
Wale ambao huwa wanaishutumu CHADEMA kuwa Iko mitandaoni tu mbona wao hawafanyi Siasa?
Tanzania Kuna vyama zaidi ya 19 vya Siasa. CCM ndicho kinaongoza Serikali Kwa Sasa.

Kwa kweli tuwape maua yao!!CHADEMA Ina Vijana Smart sana, tuweni tu wakweli
Eti eenh?Kila chama kina bajeti yake na ratiba yake!
Eti eenh?