Mbona CHADEMA wanafanya Siasa peke yao. Wengine wapo wapi?

Tanzania Kuna vyama zaidi ya 19 vya Siasa. CCM ndicho kinaongoza Serikali Kwa Sasa.

Vyama vingine nje ya CHADEMA na CCM mbona havifanyi siasa??

Wale ambao huwa wanaishutumu CHADEMA kuwa Iko mitandaoni tu mbona wao hawafanyi Siasa?
CCM wenyewe wamejaribu pumzi imekata mapemaaaa! Sio Chatanda Wala Ritz
 
FB_IMG_1574277425198.jpg
 
Kuna chama kinaitwa ACT, chenyewe kinafanya siasa za kutaka kusifiwa na CCM. Wenyewe huwa wanasema wanafanya siasa za masuala, lakini ukiwatazama kwa undani ni kama wanafanya siasa za kuwaridhisha CCM. Wakati CDM hawajaanza mikutano, wao walikuwa wanapitapita sehemu mbalimbali wakisema wanafanya siasa mbadala, lakini toka CDM walipoanza na wao kuona bado CDM ina wafuasi wengi, wamepoteza furaha maana wanaona CCM inataabishwa.

Hivyo vyama vingine viko kimya vinasuburi wakati wa uchaguzi kutumiwa na CCM, na wengine huwa wanakuja na utapeli kuwa vyama vya upinzani viunganishe nguvu ili kuitoa CCM. Na CDM wakigoma utasikia wanailaumu CDM eti haitaki kuunganisha nguvu na vyama vingine vya upinzani ili kuitoa CCM! Kibaya zaidi CDM ikikosea ikakubali kuungana navyo wanaanza kutumiwa na CCM ili kuvuruga upinzani.
 
Tanzania Kuna vyama zaidi ya 19 vya Siasa. CCM ndicho kinaongoza Serikali Kwa Sasa.

Vyama vingine nje ya CHADEMA na CCM mbona havifanyi siasa??

Wale ambao huwa wanaishutumu CHADEMA kuwa Iko mitandaoni tu mbona wao hawafanyi Siasa?

Vyama vingine vimekwisha olewa. Yale maridhiano yalikuwa ndo ndoa yao.
 
Tanzania Kuna vyama zaidi ya 19 vya Siasa. CCM ndicho kinaongoza Serikali Kwa Sasa.

Vyama vingine nje ya CHADEMA na CCM mbona havifanyi siasa??

Wale ambao huwa wanaishutumu CHADEMA kuwa Iko mitandaoni tu mbona wao hawafanyi Siasa?

Kila chama kina bajeti yake na ratiba yake!
 
Tanzania Kuna vyama zaidi ya 19 vya Siasa. CCM ndicho kinaongoza Serikali Kwa Sasa.

Vyama vingine nje ya CHADEMA na CCM mbona havifanyi siasa??

Wale ambao huwa wanaishutumu CHADEMA kuwa Iko mitandaoni tu mbona wao hawafanyi Siasa?

Hivi CHADEMA wanafanya uchaguzi mkuu lini maana mwaka huo unayoyoma!
 
Back
Top Bottom