Mbona CHADEMA wanafanya Siasa peke yao. Wengine wapo wapi?

Nimecheka sana. Kuna watu kama Mzee Cheyo, Dovutwa, Zitto nk wakipewa mwaliko Ikulu utawakuta pale hata milango kabla haijafunguliwa. Wakiingia eti wanakuwa makini na hotuba huku wakichukua notes!
Hawa wao wapo kimaslahi zaidi
 
Tanzania Kuna vyama zaidi ya 19 vya Siasa. CCM ndicho kinaongoza Serikali Kwa Sasa.

Vyama vingine nje ya CHADEMA na CCM mbona havifanyi siasa?

Wale ambao huwa wanaishutumu CHADEMA kuwa Iko mitandaoni tu mbona wao hawafanyi Siasa?
Wapo mezani na 'Wafalme'.
 
Tanzania Kuna vyama zaidi ya 19 vya Siasa. CCM ndicho kinaongoza Serikali Kwa Sasa.

Vyama vingine nje ya CHADEMA na CCM mbona havifanyi siasa?

Wale ambao huwa wanaishutumu CHADEMA kuwa Iko mitandaoni tu mbona wao hawafanyi Siasa?
Wengine wapo likizo.
 
Chadema ipi tena! Si CCM walituambia imekwisha kufa.
 
Tanzania Kuna vyama zaidi ya 19 vya Siasa. CCM ndicho kinaongoza Serikali Kwa Sasa.

Vyama vingine nje ya CHADEMA na CCM mbona havifanyi siasa?

Wale ambao huwa wanaishutumu CHADEMA kuwa Iko mitandaoni tu mbona wao hawafanyi Siasa?
Mkutano moja wa ccm unagharimu pesa nyingi sana kusomba watu kutoka mikoa jirani kuwalipa pesa za kuachia familia zao,kuwanunulia chakula na kujikimu,wateweza wapi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…