Benjamini Netanyahu
JF-Expert Member
- Aug 7, 2014
- 95,871
- 116,627
Hawa wao wapo kimaslahi zaidiNimecheka sana. Kuna watu kama Mzee Cheyo, Dovutwa, Zitto nk wakipewa mwaliko Ikulu utawakuta pale hata milango kabla haijafunguliwa. Wakiingia eti wanakuwa makini na hotuba huku wakichukua notes!