Mkuu Kama shule ilikupiga kusho huwezi elewa chochote. Hii ni lecture ya mwaka wa pili wanaodoma B.A economics au finance.
National debt= public debt + private companies' debts.
Hivyo alichosema mwigulu ndoshule yenyewe.
Sasa wanaotubana wenyewe ni akina heche ambao wamesoma linauistics tu. Hawaelewi chochote
Na
Taifa ni serikali pamoja na watu wake. Ikitokea hata wewe umeenda kukopa nje ya nchi na ukadhaminiwa na serikali ilo litakua deni la taifa maana umekopa na kuwekeza ndani ya taifa lako
Leo hii unawakana makanda wenzio?Mimi sio kamanda mwenzako, katafute makamanda wenzio pls.
Point ambayo wengi hamtaki kuielewa ni kuwa, serikali ndio imedhamini hayo madeni.Serikali ikidhamini ni sawa tu kusema deni la Serikali
[emoji23][emoji23]Wasomi njaa pumbavu ndio maana mnaishia kuajiriwa mnalipwa milion 1 umasikini uumewajaa.
Endelea kukariri hivyo vitini vya nyambari
Hata mdhamini si huwa haguswi had I iwe tofautiHaeleki kabisaView attachment 2443196
hapana deni la taifa lina jumlisha serikali na sector binafsi hata uzalishaji unaangaliwa hivyo pia ni kanuni za uchumi na hii ni topic ndogo kwenye uchumi yuko sahihi mheshimiwaHapa kuna maswali ya kujiuliza.
Hayo makampuni ni yapi?
Na je, yamewekewa dhamana na serikalli?
Kama ndio, kwanini makampuni binafsi yakopeshwa kwa kudhaminiwa na serikali?
Kama CAG hakagui hesabu za mashirika binafsi, inakuwaje deni la makampuni binafsi kuingizwa kwenye deni la Taifa?
Je, huu ni utaratibu mpya au ulikuwepo tangu zamani?
Sasa wanaotubana wenyewe ni akina heche ambao wamesoma linauistics tu. Hawaelewi chochote
Na
Taifa ni serikali pamoja na watu wake. Ikitokea hata wewe umeenda kukopa nje ya nchi na ukadhaminiwa na serikali ilo litakua deni la taifa maana umekopa na kuwekeza ndani ya taifa lako
Kwa ufupi tumeambiwa Watanzania tukakope maana usipolipa basi Serikali italipa,
Bahresa akikopa China ,
1. Serikali ndio mdhamini? na
2. Deni linahesabika kuwa ni sehemu ya Deni la Taifa?
3.Mo akikopa China dhamana Serikali yetu,ukiogopa kukopa shauri yako.
4.Muda si mrefu tutasikia Richmond imekopa mdhamana Serikali,huku na huku kumbe Richmond kampuni ya mfukoni,basi ndugu zangu Serikali italipa tu.
🤣🤣🤣🤣Madeni ya makampuni yaliosajiriwa Tanzania yenye kudai serikali
Kasome uchumi, ujinga wako usiwe mzigo kwa wengine. Shule mkimbie halahu msumbue wenzenu? Shwani
Mkuu 'Ndege JOHN', naomba hii elimu mpya kwako usiisahau. Binafsi nimejifunza pia, na ndio mwanzo wangu wa kuhoji mengi ninayoyaona kila siku yakifanyika na serikali yetu.Duh aisee yako mengi siyajui kumbe...sasa nauliza wenyewe wakikopa wanaweka nini bondi au ndo vitu walivyowekeza?ebu wataalam wa masuala ya uchumi tutoeni tongotongo
Toa shule mkuu, wanafunzi tupo tayari kujifunza.Mikopo binafsi nayo iko kama nilivyoeleza juu. Kuna wakati, serkali inaweza kupata mikopo kutekeleza miradi fulani katika nchi. Hii miradi mara nyingi inatekelezwa na sekta binafsi (na mashirika ya umma). Mwisho wa siku sekata binafsi hutakiwa kuilipa serkali na serkali kulipa huko ilikokopa. Nakumbuka katika miaka ya 80/90 serkali ilipata pesa nyingi toka (nadhani) benki ya dunia kufufua zao la mkonge. Hiyo pesa ilipewa sekta binafsi ili kufufua kilimo cha mkonge. Hiyo mikopo ilichukuliwa, wakapewa mashamba mkonge, lakini badala ya kufufua hicho kilimo hiyo fedha yote iliingizwa kwenye shughuli nyingine. Tena hiyo pesa walipewa kama foreignm currency credit facility. Wahindi wengi waliipokea hii pesa na wengine walikimbilia Cana/Uingereza na wengine hadi leo wako TZ na ni mabillionea na hiyo pesa hawakulipa.
Pesa kama hiyo hapo juu ni mkopo wa serkali hata kama mtumiaji ni mtu binafsi na huwezi ukajumlisha hela waliopewa sekata binafsi kama mkpo unaojitegemea.
Unauliza jibu mkuu, hizo sector binafsi ni mifuko ya watu fulani.Nimeshangaa sekta binafsi inakopa sana kuliko serikali. Sio kwamba serikali inajificha kwenye mgongo wa sekta binafsi?
Uchumi wa nchi gani huo ,kwanza ulisoma uchumi kwwli au ndio nyie hkl mnakuwa wachambuz wa maswal ya uchumi na fedhaMbona mimi nimemuelewa!...Yaani mfano mzuri ni huu let say deni la nyumba x=Sh 15 mpangaji namba 1 sh 5,mpangaji namba 2 ni sh 10,kila mpangaji atalipa deni linalomuhusu mwenyewe bila ya kujumlisha deni la mwenzie yaani ndio kama hivyo Serikali italipa deni lake na sekta binafsi italipa deni lake kwahiyo jumla ndio deni la taifa(deni la nchi ya Tz )