Mbona hayati Magufuli alijenga vituo vya afya bila kukamua wananchi tozo za miamala? Alitoa wapi pesa?

Alikuwa anatumia Bunduki kupora matajiri

Sent from my CPH2179 using JamiiForums mobile app
 
JPM shujaa wa TZ na bara lote la Afrika...yule alikuwa ni Mwamba ...itatuchukua miaka mingi TZ kumpata kiongozi Kama JPM...a true son of TZ...a true son of Africa..
 
Hivi kweli nyie watanzania?Leo Serikali ya Awamu ya 6 inakopa matrilioni kwa sababu huyo uliyemtaja kaifilisi nchi.Huku anajifanya anatetea wanyonge kumbe ana makampuni ya ujenzi kibao.Benki kuu kumekauka.Kachukua mapesa,Mali,Dhahabu kwa nguvu ili aonyeshe nchi eti tupo kwenye uchumi wa kati!!!!!.Alitukuta wajinga waliwao.Kwa taarifa yako wewe mbumbumbu Nchi zilizoendelea Zinaitwa G7.Zipo saba tu.Sasa zipo nchi za uchumi wa kati kama Hungary ambapo kima cha chini kabisa ni dola za kimarekani elfu 9.Labda huyo unayemzungumza alikuwa anamaanisha Zimbabwe dola ambazo zina noti za mpaka milioni ambazo huwezi hata kununua mkate.
 
Tujiulize pamoja na kuweka mkakati mkubwa kwenye madini na almasi yetu ambako ni pesa lukukizinatoka huko. Leo zinaenda wapi hadi waje kutukamua kiasi hiki.
Wanazidi kula pesa kwa kwenda mbele. Shida ziko palepale wananchi wanaliankila kona barabara, shule, maji hudhma nyingi za wananchi wakati wabunge wanakamua!! Nchi ya ajabu.
 
Alikamua matajiri na Mashirika ya Umma. Walitolewa tozo zao. Kila mwaka. Na usipolipa boda ziliwajibika.
TRC. ATCL. POSTA. TANESCO. SUMA. STAMICO. TPL .NMB . Kila MwanyeKiti wa shirika aliwashika. nk walilipa bilioni pesa karibu mashirika 100 na kitu
 
Huwa nakufuatilia humu jamvini. Leo umepost uharo. Kwani alipokuwepo deni la taifa lilikuwa halilipwi? Kukopa ni tatizo kama mnakusanya na kulipa?

Alikuta deni la taifa likiwa 39t+, ameenda motoni ndani ya miaka mitano akiacha deni likifika 60t. Yaani yeye mwenyewe katengeneza 1/3 ya deni lote la marais wote walioongoza nchi hii kwa miaka 55. Unakopa unalipa kisha deni lipande kwa 20t? Uza ubongo huo dogo maana unaumiliki kwa hasara.
 
Unaongea upuuzi. Kama hujaenda shule. Yeye alikuta deni kiasi gani na kaongeza kiasi gani? Alitengeneza miradi inayohudumiwa na deni la taifa kiasi gani?
 

Alikua anakopa, Nchi haiwezi kuendeshwa kwa kukopa milele
 
Unaongea upuuzi. Kama hujaenda shule. Yeye alikuta deni kiasi gani na kaongeza kiasi gani? Alitengeneza miradi inayohudumiwa na deni la taifa kiasi gani?

Unapanic mpaka unachemka, nimeweka kwenye post yangu kuwa kakuta 39t, ndani miaka mitano deni limefikia 60t, yaani ndani ya miaka mitano kupandisha deni kwa 20t, ni sawa na 1/3 ya deni lote la marais wa nchi hii. Taja hiyo miradi iliyoleta deni la 20t tuione.
 
JPM shujaa wa TZ na bara lote la Afrika...yule alikuwa ni Mwamba ...itatuchukua miaka mingi TZ kumpata kiongozi Kama JPM...a true son of TZ...a true son of Africa..
Hata wenzake wanajua alukuwa na faili Mirembe.
 
Tunajenga vituo 150 kwa mwaka na 750 by 2025 ,,hii itaendelea hadi 2030 tuwe na vituo takribani 1500 .

Magu alijenga na kukarabati 460 kwa miaka 6 sasa lini tutamaliza vituo 3956 vinavyotakiwa?
 
Hicho chanzo kingine means someone else ndio alipie hizo gharama, kipindi Cha mwendazake inajulikana wazi kwamba watu walithulumiwa pesa ili kufanikisha yote hayo, huku nyie aliowabatiza wanyonge mkipata free raid, sasa ni wakati wa haki bin haki kila mmoja wetu abebe huu mzigo wa ujenzi wa taifa. Wakati wa kudekezwa haupo tena.
Swala la msingi ni sisi wananchi kuhakukisha kuwa pesa zinazotozwa zinatumika kwa makusudu tarajiwa bila kuchezewa.sina shaka mama ataupiga mwingi kwenye hilo.
 
Sio kweli rea ilikua elfu 27 pia
 
Ndio zile zilikuwa zinachukuliwa kwenye mabenki na zingine ndio kina Sabaya walikuwa wanazikusanya kimenomeno
Kwa hiyo ujue Kuna walioumizwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…