Jidu La Mabambasi
JF-Expert Member
- Oct 20, 2014
- 16,419
- 26,594
Tulia tu kalio lako linaposhughulikiwa kikodi.We makalio kaa kimya.
Enjoy it.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tulia tu kalio lako linaposhughulikiwa kikodi.We makalio kaa kimya.
Alikuwa anatumia Bunduki kupora matajiriHili swali lazima tujiulize wadau. Mbona hayati JPM alijenga vituo vya afya 460+ bila kutukamua tozo kama hizi?
Je, kama alipata hizo pesa na kujenga vituo, chanzo kilikuwa ni kipi?
Je, kuna haja ya kutumia ujenzi wa vituo vya afya, shule na barabara kama justification ya kodi kama hizi?
Je, hakuna chanzo kingine cha mapato.
Nyie mnao hara kupitia midomoni, mnanuka kila muonekanapo na kufungua midomo.Huwa nakufuatilia humu jamvini. Leo umepost uharo. Kwani alipokuwepo deni la taifa lilikuwa halilipwi? Kukopa ni tatizo kama mnakusanya na kulipa?
JPM shujaa wa TZ na bara lote la Afrika...yule alikuwa ni Mwamba ...itatuchukua miaka mingi TZ kumpata kiongozi Kama JPM...a true son of TZ...a true son of Africa..Yule ni mwamba.
Ingawa nae alifanya unyanganyi kwa kutumia task force.
Ila jamaa ni champion kwa miundombinu. Tena tungempa na hizi tozo aaaa..
In 10 yrs chuma alikuwa anaibadili hii nchi kuwa na miundombinu bora kabisa.
Afya, elimu, barabara na utawala. Apumzike kwa amani.
Hivi kweli nyie watanzania?Leo Serikali ya Awamu ya 6 inakopa matrilioni kwa sababu huyo uliyemtaja kaifilisi nchi.Huku anajifanya anatetea wanyonge kumbe ana makampuni ya ujenzi kibao.Benki kuu kumekauka.Kachukua mapesa,Mali,Dhahabu kwa nguvu ili aonyeshe nchi eti tupo kwenye uchumi wa kati!!!!!.Alitukuta wajinga waliwao.Kwa taarifa yako wewe mbumbumbu Nchi zilizoendelea Zinaitwa G7.Zipo saba tu.Sasa zipo nchi za uchumi wa kati kama Hungary ambapo kima cha chini kabisa ni dola za kimarekani elfu 9.Labda huyo unayemzungumza alikuwa anamaanisha Zimbabwe dola ambazo zina noti za mpaka milioni ambazo huwezi hata kununua mkate.Hili swali lazima tujiulize wadau. Mbona hayati JPM alijenga vituo vya afya 460+ bila kutukamua tozo kama hizi?
Je, kama alipata hizo pesa na kujenga vituo, chanzo kilikuwa ni kipi?
Je, kuna haja ya kutumia ujenzi wa vituo vya afya, shule na barabara kama justification ya kodi kama hizi?
Je, hakuna chanzo kingine cha mapato.
Huwa nakufuatilia humu jamvini. Leo umepost uharo. Kwani alipokuwepo deni la taifa lilikuwa halilipwi? Kukopa ni tatizo kama mnakusanya na kulipa?
Unaongea upuuzi. Kama hujaenda shule. Yeye alikuta deni kiasi gani na kaongeza kiasi gani? Alitengeneza miradi inayohudumiwa na deni la taifa kiasi gani?Alikuta deni la taifa likiwa 39t+, ameenda motoni ndani ya miaka mitano akiacha deni likifika 60t. Yaani yeye mwenyewe katengeneza 1/3 ya deni lote la marais wote walioongoza nchi hii kwa miaka 55. Unakopa unalipa kisha deni lipande kwa 20t? Uza ubongo huo dogo maana unaumiliki kwa hasara.
Hili swali lazima tujiulize wadau. Mbona hayati JPM alijenga vituo vya afya 460+ bila kutukamua tozo kama hizi?
Je, kama alipata hizo pesa na kujenga vituo, chanzo kilikuwa ni kipi?
Je, kuna haja ya kutumia ujenzi wa vituo vya afya, shule na barabara kama justification ya kodi kama hizi?
Je, hakuna chanzo kingine cha mapato.
Unaongea upuuzi. Kama hujaenda shule. Yeye alikuta deni kiasi gani na kaongeza kiasi gani? Alitengeneza miradi inayohudumiwa na deni la taifa kiasi gani?
Hata wenzake wanajua alukuwa na faili Mirembe.JPM shujaa wa TZ na bara lote la Afrika...yule alikuwa ni Mwamba ...itatuchukua miaka mingi TZ kumpata kiongozi Kama JPM...a true son of TZ...a true son of Africa..
Lolote linaweza kusemwa...inawezekana akajitokeza mtu akasema na wewe una faili MirembeHata wenzake wanajua alukuwa na faili Mirembe.
Yupo sahihi mjinga weweAt what cost,acha ujinga.
Hicho chanzo kingine means someone else ndio alipie hizo gharama, kipindi Cha mwendazake inajulikana wazi kwamba watu walithulumiwa pesa ili kufanikisha yote hayo, huku nyie aliowabatiza wanyonge mkipata free raid, sasa ni wakati wa haki bin haki kila mmoja wetu abebe huu mzigo wa ujenzi wa taifa. Wakati wa kudekezwa haupo tena.Hili swali lazima tujiulize wadau. Mbona hayati JPM alijenga vituo vya afya 460+ bila kutukamua tozo kama hizi?
Je, kama alipata hizo pesa na kujenga vituo, chanzo kilikuwa ni kipi?
Je, kuna haja ya kutumia ujenzi wa vituo vya afya, shule na barabara kama justification ya kodi kama hizi?
Je, hakuna chanzo kingine cha mapato.
Sio kweli rea ilikua elfu 27 piaAlitoza kodi kubwa na kunyang'anya hela za wafanya biashara. Ambapo sasa zimepungizwa, ili kuiwezesha secta binafsi kukuwa na hivyo kutengeneza ajira nyingi kwa watanzania.
Lkn pia vyeti vya kuzaliwa kwa wanafunzi wa shule za msingi na sekondari walilazimishwa kuvinunua kwa Tsh. 10,000. Kwa kila mmoja.
Alianzisha tozo za kupiga mihuri ya mifugo yote nchini kwa kila ng'ombe Tsh. 3000. Ko wenye ng'ombe zaidi ya 500. Ziliwatoka nyingi.
Pia aliwatoza machinga Tsh. 20,000. Kwa kila mmoja kwa mwaka. Ambayo kwa sasa haipo.
Kuunganishiwa umeme kipindi hicho ilikuwa Tsh. 320,000, lkn sasa ni Tsh. 27,000.
KO HIVI NDIVYO VILIKUWA VYANZO VYA JPM NYAKATI ZAKE.