Mbona kama sielewi wakuu?

Mbona kama sielewi wakuu?

Dogo zingatia masomo acha kutuchora
Sema kaka hapo unanikazia sana .😂
Inabidi unipe namba yako ili nikikosa pesa ya bundle la kusomea nikuombe 😂🤣🙌.
Sema nini umetisha sana mi nasoma kaka kwenye hilo ondoa wasiwasi
 
Nishaona kumbe watanzania wengi mnamchango mdogo sana kwenye taifa letu.
Mimi nimepata 4.5M kutokana na biashara nilo ianzisha kwa 350k tarehe 1/12/2024 lakini nyie mnaona ni ndogo 😂 sawa .
Na nipo chuo hapo na bado najisomesha na pia nipo na mdogo wangu yupo Mzumbe namsomesha .
Ipo hivi akili ya biashara ni bora kuliko mtaji
Interesting! Mtaji 350k mwezi Disemba, ndani ya miezi miwili tayari una ziada ya 4.5M. Hakika wewe ni alwatan, hongera. Hukutakiwa kuuliza au kuwananga watu, bali kujitolea kuwafundisha siri ya mafanikio hayo makubwa kwa muda mfupi.
 
Interesting! Mtaji 350k mwezi Disemba, ndani ya miezi miwili tayari una ziada ya 4.5M. Hakika wewe ni alwatan, hongera. Hukutakiwa kuuliza au kuwananga watu, bali kujitolea kuwafundisha siri ya mafanikio hayo makubwa kwa muda mfupi.
Kuna watu kati yenu washawaambia mtaji ni mtaji tu kaka.Shida sisi tunakosa elimu ya biashara na tulio wengi hatujakulia kwenye familia za wafanya biashara .
Mi nadhani tuwe tunapeana changamoto na ufumbuzi wazo .
Mwezi wa 12/2025 nitakuja nitoe fursa moja hapa ambayo mimi sitoweka mtaji wangu 100% tutagawana na jamaa zangu ambao ni nyinyi.Then tutasimamia project naamini mtakuja mseme hapa mambo yatakuwaje .
Maana hiyo itakuwa ni real bussiness .Eleweni kwamba tunakazi ya kuyahudumia mataifa mengine kwa vitu vingi kama tuhudumiwavyo electronics .
Hayupo yule rafiki wa umri wako atakaye weza kukutoa tena kama yeye ashafanikiwa na ni zaidi ya miaka 5 .
So shikamana na wadogo zako ambao huenda sio wa tumbo moja(Kama sisi) hakikisha unawatumia hao vizuri mpaka utoke na wewe.


Kama unaweza ona tutapeana issues pasina kinyongo hatuna budi kuwa marafiki .
0685237039 kwa Whatsapp
Kawaida 0769927039.
 
USHAURI ULIOMPA MZURI SANA,KUNA SIKU NILIPIGA LAKI 8 KWENYE BETTING DAH ILIISHIA KWENYE POMBE NA UMALAYA NILIKUJA KUSTUKA SINA KITU
Hizo 4.5M siyo nyingi, ukileta masihara unaamka asb huna hata ya supu.
Kama unasoma basi kaziweke bank hadi pale utakapopata uhakika ufanye nini.
 
Wewe UDSM ulisoma kozi gani kaka ???
Na ukapata G.P.A ya ngapi na umeisaidia nini familia yako?😂
Kibaya ni lwamba huenda hata umri una nizidi ila sio vingine 😂🤣
Sema nini pambana sana kuharibu 🙌
Sijasoma udsm..
Sijui mana ya gpa
Sina familia mimi

Acha uwongo hvi wewe ujaona kuwa wenzako wanakuchora humu 😁😁😁😁😁😁wewe ndo mana jukwaa la mapishi walitaka kukupiga
 
Back
Top Bottom