Mbona Lindi iko unpopular sana? Shida ni promotion au wakazi?

Japo Lindi kuna nyumba za zamani lkn ni kati ya miji iliopangika saana. Angalia hii aerial image unaweza sema sio penyewe kabisa
View attachment 2306537
Upangikaji wake ulianzia kwenye soko la watumwa walianza kupangilia miji siku nyingi wakati wa falme za kitumwa kwa waarabu au watawala mfano Lindi, Tanga, Kigoma, Tabora miji yao mingi imepangwa na mabaki ya waarabu yapo pia zanzibar na pwani za mombasa na mogadishu somalia.
 
Wanaroga sio mchezo halafu kule mademu maji mara moja watoto la sita tu mtu mzima ukiingia unaelea wanatumia sana uzazi wa mpango
Daaah noma sana sensa itaeleza soon 😔 ila ni huruma sana kwa watoto
 
Mimi nadhani shida ya Lindi ni mwingiliano wa watu hakuna na huenda ikiwa wenyeji hawana mvuto wa kibiashara au wenyewe sio wafanyabiashara.

Wenyeji wanatabia za kukaa kivyao labda wana ukabila au udini. Umwinyi mi naamini ni tabia ya mtu au inatokana na udini au ukabila.

Lindi, Tanga, Tabora, Kigoma wanarelate kwa huu mfumo ila lindi ni maskini.
 
🤣🤣😅😅😅😅🤣🤣🤣🤣🤣😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅🤣😅🤣😅🤣🤣😅😅😅
 
Uko sahihi lakini dar si ya wazaramo kifursa maana wanahamishwa na wageni ila huko tabora,ujiji,lindi...uswahili ndio tatizo na elimu dunia ni adui yao.Lakini utandawazi utawabadilisha kilazima.
Miji mingi huwa haijengwi na wenyeji japokuwa kuna michache wenyeji wameisimamia, mji ukiwa na fursa wageni watakuja kuwekeza na wenyeji njaa watakimbia kuwapisha maana wao hawatakuwa na uwezo wa maisha hayo. Ndivyo inavyotokea kwa mji kama Dar.
 
Soon Lindi inakwenda kupata Tawi la Chuo Kikuu cha Dar es Salaam so itakuwa njema zaidi..

Lindi na alama ya dinosela 👇
 

Attachments

  • Screenshot_20220827-211638.png
    186.9 KB · Views: 19
Samahani njia ya kwenda Songea lazima upite Lindi mkuu. Mfano Dar Songea Via Lindi
 
Tamaduni gani za unyago?nje ya hapo hakuna kingine zaidi ya tamaduni za kigeni.
Ndio hizo tamaduni zao wasiziache huku wakiangalia ni jinsi gani wataweza kuzikataa hizo za kigeni kidogo kidogo
Z
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…