Mbona Lindi iko unpopular sana? Shida ni promotion au wakazi?


Hili ni kweli mkuu na ukitaka kujua umahiri wa mji, pita Tu mtaani uwaulize watafutaji ni mikoa ipi wanatamani kufika. Nina uhakika ni ngumu kuipata Lindi

Hata Mimi Lindi ni mkoa ambao hata kichwani haupo labda maisha yanipeleke. Ila kwa plan za kawaida Tu haipo.
 
Hata wapemba na wasomali na uswahili wao hawapapendi Lindi kwa waswahili.
 
Haijapewa kipaumbele...
Ikipewa kipaumbele kila kitu kitakaa sawa. Ahsante sana
Hili suala lipo mikoa yote ya pwani ya kusini..mtoto wa darasa la saba ni mtu mzima anayajua mengi..dawa za mpango wa uzazi wanakunywa kama panadol.
Wanaogopa kuongezeka na kuujaza mkoa wao?
Ndio maeneo ambapo hadi leo unyago unachezwa vilivyo.

#MaendeleoHayanaChama
Safi sana, wasiache mila na tamaduni zao,huku wakiangalia ni jinsi gani watautoa kidedea mkoa wao
Nalog off Z
 
Jipe moyo.. hebu tujulishe ile gesi ya Mtwara ambayo tuliambia Mtwara itakuwa jiji kubwa Afrika mashariki kutokana na gesi kiko wapi sasa.

Ukuaji wa sehemu unachangizwa na mengi sana..sikatai ujenzi wa hivyo vyuo unaweza kuwa chachu..ila kuhusu gesi ambayo bomba litapita kuelekea dsm sahau kuhusu maendeleo ya lindi..kamaana tayari uzoefu tunao tangu ile ya mtwara inapigiwa upatu.

Kuhusu kumiliki ardhi lindi ni jambo jema kwa manufaa ya badae pia mana ardhi ni mali.

#MaendeleoHayanaChama
 
Kuna uwekezaji sahv watu wamefanya huko

Fursa pia zipo

Ova
 
Hujapata fursa huko

Wengine sahvi lindi ndy base

Mwanzoni ilikuwa gairo kwangu

Kwa sasa majeshi nmehamishia lindi

Ova
 
Nawasoma tu wadau humu wanalopoka tu lopoka tu

Wanaiponda lindi ....lindi kuna mradi mkubwa sahv wa uchimbaji wa magnesium na kuna mradi mkubwa mkubwa wa uchimbaji wa graphite

Na sahv lindi kuna mahali wanachimba watu dhahabu na purity yKe iko vzr kuliko hata ya kutoka kanda ziwa....

Fursa zipo San na sahv huko kuna mchanganyiko wa watu wanaenda

Wavaa tai,wakaa mjini hawawezi elewa

Ova



Kwa mtafutaji lindi fursa zipo
 
Ruvuma si bora niwe kwenye handaki tu πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜†πŸ˜†
 
Lindi ni chimbo lingine..soon wasukuma wataanza kuifukua ardhi ya lindi mpaka ishangae.

#MaendeleoHayanaChama
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…