Mbona majanga kila Mahali? Arusha nayo yakumbwa na mafuriko, magari yasombwa

Mvua kubwa inanyesha Arusha usiku huu wa Alhamisi Aprili 11, 2024 mpaka muda huu wa saa nane bado mvua ni kubwa. Magari, pikipiki pamoja na mifugo vinasombwa na maji hasa eneo la Kisongo.
Poleni sana ndugu zetu mnaokumbwa na maafa, ila huenda ndiyo yale maneno ya kejeli ya kuwa Mungu amemleta RC, Mungu hadhihakiwi, kumbukeni kuweka akiba za maneno
 
Stupid, CHADEMA imeingiaje hapa. Wewe kila wakati unawaza siasa. Watu wameleta habari ya majanga wewe unaishambulia CHADEMA. Kweli vichaa ni wengi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…