kwa hiyo gwajima kukemea utekaji na uuaji amemdhihaki mkuu wa nchi yako? kwani huyo mkuu wako alikuwa anahusikaje na utekaji, sisi hatukuona kama anatajwa, walilengwa kikundi cha watu wasiojulikana. umetumwa na huyo mkuu wako uje umuingize kwenye icho kikundi au vipi? usituchafulie Rais, sisi shida yetu sio Rais, ni kikundi cha kihuni kisichojulikana.Hoja ya Wakili msomi Peter Kibatala kuwa jina la kanisa kwenye barua liyotumika kulifunga kanisa la Gwajima ni tofauti na jina la kanisa la Gwajima lililopo kwenye usajili, hivyo kulifunga kanisa la Gwajima ni makosa, Hoja kama hii ni nyepesi sana kwa mtu ambae anafahamika (raia, mbunge na askofu) ameonekana kwa macho na kusikika kwa masikio akimtweza Rais wa Tanzania na Amirijeshi Mkuu wa majeshi yote Tanzania. Yaani mbwa kichaa anaeuma watu watu wanajua , wamemuona na kumsikia akibweka wakati anauma watu lakini eti Kibatala anasema watu wasimuue mbwa huyo kichaa kwakuwa hawalijui jina lake kamili kwa usahihi.
Hoja nyepesi sana hii kwa mtu anaemdhihaki Mkuu wa nchi na Amirijeshi Mkuu, maana barua iliandikwa na kupelekwa kwa mtu anaefahamika sana na kanisa linalofahamika sana, na polisi waliokwenda kulifunga walienda sehemu wanayoifamu sana. Sidhani kama hoja hii ya Wakili ina mashiko ya kuzuia kanisa la Gwajima lisifungiwe kwasababu ya utofauti wa majina kamili kwenye barua.
kwa hiyo gwajima kukemea utekaji na uuaji amemdhihaki mkuu wa nchi yako? kwani huyo mkuu wako alikuwa anahusikaje na utekaji, sisi hatukuona kama anatajwa, walilengwa kikundi cha watu wasiojulikana. umetumwa na huyo mkuu wako uje umuingize kwenye icho kikundi au vipi? usituchafulie Rais, sisi shida yetu sio Rais, ni kikundi cha kihuni kisichojulikana.
umemgusia mamako, ndiye anahusika na kuteka hao vibaraka? kwani hakuna utawala wa sheria awapeleke mahakamani?Wanaotekwa ni vibaraka na makuwadi.
yaani, kwamba Yesu angekuwepo asingekemea utekaji na uuaji? na mpo hapa sijui mmelipwa pesa ili kushambulia watu wanaokemea uuaji na utekaji? mnafungia watu hata makanisa wasiabudu kwa sababu wameongelea issue ya utekaji na uuaji ambayo hadi mtu wa kawaida anajua ipo na ninani anaifanya? ninyi mashetani Mungu atashughulika na ninyi.Jina haliendani na matendo
Ungejiita : Mpinga Kristo Anakuja
Wakati Magufuli akiwaagiza polisi wawanyang'anye majambazi silaha zao kabla hawajawanyang'anya askari silaha zao mbona hamkumkosoa? Kwani majambazi wauawe bila kufikishwa mahakamani? Majambazi sio raia kwanini wasifikishwe mahakamani?umemgusia mamako, ndiye anahusika na kuteka hao vibaraka? kwani hakuna utawala wa sheria awapeleke mahakamani?
Yeye anakemea kama nani? Yeye ni mbunge na mjumbe wa CCM, si angetoa hoja zake huko tena kwa uhru kabisa.kwa hiyo gwajima kukemea utekaji na uuaji amemdhihaki mkuu wa nchi yako? kwani huyo mkuu wako alikuwa anahusikaje na utekaji, sisi hatukuona kama anatajwa, walilengwa kikundi cha watu wasiojulikana. umetumwa na huyo mkuu wako uje umuingize kwenye icho kikundi au vipi? usituchafulie Rais, sisi shida yetu sio Rais, ni kikundi cha kihuni kisichojulikana.
Kama unazo taarifa nyeti zipeleke polisi wazifanyie kazi, au mpe mbunge wako akakisemee au peleka mahakamani, finito.yaani, kwamba Yesu angekuwepo asingekemea utekaji na uuaji? na mpo hapa sijui mmelipwa pesa ili kushambulia watu wanaokemea uuaji na utekaji? mnafungia watu hata makanisa wasiabudu kwa sababu wameongelea issue ya utekaji na uuaji ambayo hadi mtu wa kawaida anajua ipo na ninani anaifanya? ninyi mashetani Mungu atashughulika na ninyi.
taarifa nyeti? kwamba akili zenu zinaamini watanzania wa kawaida hawajui kuna utekaji na uuaji wakati wanaokota maiti na kina mdude wanatekwa mbele ya macho ya watu? kwa hiyo dhambi za kuua na kuteka wachungaji wakahubirie vilabuni wasizisemee madhabahuni? halafu, kama ninyi ndio washauri wa hii serikali mnaipoteza sana. mshaurini vizuri msimpoteze.Kama unazo taarifa nyeti zipeleke polisi wazifanyie kazi, au mpe mbunge wako akakisemee au peleka mahakamani, finito.
nimeshajua akili ya mtu ninayebishana naye. gwajima ambaye ni askofu, mhubiri wa muda mrefu tu anayehubiri kukemea maovu, unakuja kusema "gwajima anakemea uuaji na utekaji kama nani?, kama mchungaji/askofu na ndio kazi yake. hautaki akemee? kukemea mauaji na utekaji imewauma sana?Yeye anakemea kama nani? Yeye ni mbunge na mjumbe wa CCM, si angetoa hoja zake huko tena kwa uhru kabisa.
imagine, mtu kama wewe si ukute umeajiliwa unakula mshahara wa kodi za watanzania kabisa kwamba unalitumikia taifa, ati, kwa akili ya namna hii.Wakati Magufuli akiwaagiza polisi wawanyang'anye majambazi silaha zao kabla hawajawanyang'anya askari silaha zao mbona hamkumkosoa? Kwani majambazi wauawe bila kufikishwa mahakamani? Majambazi sio raia kwanini wasifikishwe mahakamani?
Kibaraka ni hatari sana kuliko jambazi. Vibaraka wetu ukiwasikia lugha zao ni eti nchi inauzwa kwa waarabu. Mwarabu Gani ana fedha za kununua nchi nzima. Mbona Korea, Kenya , Japan hatusemi zimeuzwa kwa Marekani? Mbona uingereza ndio inaongoza kwa uwekezaji hapa kwetu lakini hatusemi nchi imeuzwa kwa waingereza? Ni upuuzi wa watu tu.
Kwenye mahakama mwizi aweza kuachiwa kwa sababu ushahidi wa jina la mwizi linatofautiana na jina lake halisi.Ushahidi unatakiwa unyoke sio hadidhi za kisiasaHoja ya Wakili msomi Peter Kibatala kuwa jina la kanisa kwenye barua liyotumika kulifunga kanisa la Gwajima ni tofauti na jina la kanisa la Gwajima lililopo kwenye usajili, hivyo kulifunga kanisa la Gwajima ni makosa, Hoja kama hii ni nyepesi sana kwa mtu ambae anafahamika (raia, mbunge na askofu) ameonekana kwa macho na kusikika kwa masikio akimtweza Rais wa Tanzania na Amirijeshi Mkuu wa majeshi yote Tanzania. Yaani mbwa kichaa anaeuma watu watu wanajua , wamemuona na kumsikia akibweka wakati anauma watu lakini eti Kibatala anasema watu wasimuue mbwa huyo kichaa kwakuwa hawalijui jina lake kamili kwa usahihi.
Hoja nyepesi sana hii kwa mtu anaemdhihaki Mkuu wa nchi na Amirijeshi Mkuu, maana barua iliandikwa na kupelekwa kwa mtu anaefahamika sana na kanisa linalofahamika sana, na polisi waliokwenda kulifunga walienda sehemu wanayoifamu sana. Sidhani kama hoja hii ya Wakili ina mashiko ya kuzuia kanisa la Gwajima lisifungiwe kwasababu ya utofauti wa majina kamili kwenye barua.
yaani, kwamba Yesu angekuwepo asingekemea utekaji na uuaji? na mpo hapa sijui mmelipwa pesa ili kushambulia watu wanaokemea uuaji na utekaji? mnafungia watu hata makanisa wasiabudu kwa sababu wameongelea issue ya utekaji na uuaji ambayo hadi mtu wa kawaida anajua ipo na ninani anaifanya? ninyi mashetani Mungu atashughulika na ninyi
Kuna wakati wananchi lazima wajue kuwa katiba aliyotuachia baba wa taifa hairuhusu raia kumkeli Rais. Ametuachia Katiba ambayo Rais ni Mungu mtu, hasemwi Wala kushitakiwa kwa lolote na chochote. Sasa katiba hii hakuiandika Rais Samia na nyie mnalijua hilo. Katiba aliyotuachia baba wa taifa Rais ni kila kitu na anamteua Kila mtu. Hayo Yako kwenye katiba yetu ya mwka 1977 na yataendelea kuwa hivyo hadi hapo Katia itakaporuhisu raia na maaskofu kumtukana Rais.taarifa nyeti? kwamba akili zenu zinaamini watanzania wa kawaida hawajui kuna utekaji na uuaji wakati wanaokota maiti na kina mdude wanatekwa mbele ya macho ya watu? kwa hiyo dhambi za kuua na kuteka wachungaji wakahubirie vilabuni wasizisemee madhabahuni? halafu, kama ninyi ndio washauri wa hii serikali mnaipoteza sana. mshaurini vizuri msimpoteze.
Hoja ya Wakili msomi Peter Kibatala kuwa jina la kanisa kwenye barua liyotumika kulifunga kanisa la Gwajima ni tofauti na jina la kanisa la Gwajima lililopo kwenye usajili, hivyo kulifunga kanisa la Gwajima ni makosa, Hoja kama hii ni nyepesi sana kwa mtu ambae anafahamika (raia, mbunge na askofu) ameonekana kwa macho na kusikika kwa masikio akimtweza Rais wa Tanzania na Amirijeshi Mkuu wa majeshi yote Tanzania. Yaani mbwa kichaa anaeuma watu watu wanajua , wamemuona na kumsikia akibweka wakati anauma watu lakini eti Kibatala anasema watu wasimuue mbwa huyo kichaa kwakuwa hawalijui jina lake kamili kwa usahihi.
Hoja nyepesi sana hii kwa mtu anaemdhihaki Mkuu wa nchi na Amirijeshi Mkuu, maana barua iliandikwa na kupelekwa kwa mtu anaefahamika sana na kanisa linalofahamika sana, na polisi waliokwenda kulifunga walienda sehemu wanayoifamu sana. Sidhani kama hoja hii ya Wakili ina mashiko ya kuzuia kanisa la Gwajima lisifungiwe kwasababu ya utofauti wa majina kamili kwenye barua.
Mbona hakemei majambazi waache kuvunja nyumba za watu na majangiri wasiue tembo? Mbona Madada poa wako wengi mitaani lakini hakemei waache ukahaba. Kazi yao wanawashwawashwa tu na Samianimeshajua akili ya mtu ninayebishana naye. gwajima ambaye ni askofu, mhubiri wa muda mrefu tu anayehubiri kukemea maovu, unakuja kusema "gwajima anakemea uuaji na utekaji kama nani?, kama mchungaji/askofu na ndio kazi yake. hautaki akemee? kukemea mauaji na utekaji imewauma sana?