Mbona sijawahi kuona tangazo la Safari Lager au Serengeti Lite kwenye chaneli za Azam?

Hiyo ni biashara binafsi huwezi kumpangia mtu cha kutangaza,ingekuwa TBC tungehoji.
 
Nch ina watu wa hvyo hii, watu wanataka ufanyavwanavyo taka wao. Tuna shindwa kuheshimu mambo ya watu wengine kabisa.
Kwahiyo hizo channel zikotangaza wewe unapata nini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…