Mbona wanajikomba kwa Israel

Mbona wanajikomba kwa Israel

Nchi 14 barani Afrika wamepinga Israel kuwa mwanachama wa AU ikiwemo TZ juzi kati,unahisi hizo nchi zote hawajui hilo jambo ni wewe tu ndie ujue ewe Mtumishi?
Wanachokitafuta watakipata. Hata hivyo ni faraja ilioje Israel kurudishiwa status kama observer wa Au, labda nafsi tutaneemekaa na mipango ya bwana mkubwa
 
Who said something like your entire community being in chain control? Slavery is a matter of choice brother, keys to unleash your chains lays in your hands/ mind. You have an option, considering the above comments from multiple sources you should be able to read between the lines, not everyone is a slave to the system.
Sentensi yasema "none but yourself" sasa mimi naishi ndani ya community unafikiri ndugu zangu watafutahi kuona naenda kinyume na wanagyoamini au kujua
 
Fuatilia pesa ambayo china inawekeza kwa Israel startup ndo utajua kuwa hujui
Kwa hiyo wawekezaji wa kimarekani na wa ulaya waliowekeza china wanainyenyekea china, wawekezaji wa kichina waliowekeza marekani na ulaya nao pia wanayanyebyekea hayo mataifa waliowekeza , kwa hiyo pia wawekezaji wa kicanada waliowekeza kwenye migodi yetu nao pia wanainyenyekea Tanzania? Hivi unafahamu nini maana ya uwekezaji ? Au unadhani wao waisrael hawawekezi kwenye mataifa mengine nje ya Israel?🤔
 
Wawekezaji wanaoenda China wanafwata cheap labor! Israel Tayari wanayo technologia ila mchina anafwata kwa misrael technology na ipo wazi kabisa na ameshakiri kuwa anavutiwa na ubunifu wa wana ya Ibrahim.
 
Sentensi yasema "none but yourself" sasa mimi naishi ndani ya community unafikiri ndugu zangu watafutahi kuona naenda kinyume na wanagyoamini au kujua
Usimezwe na community, vipi kama community yako inasupport ushoga, lazima na wewe uwe shoga? Zanzibar mfano asilimia zaidi ya tisini ni waislamu, kwa mantiki yako sidhani kama makanisa yangeendelea kuwepo… you’re an individual person bro, kuna mambo ya society lakini sio mind yako… born alone and death with conquer you alone at the appropriate time…
 
Wawekezaji wanaoenda China wanafwata cheap labor! Israel Tayari wanayo technologia ila mchina anafwata kwa misrael technology na ipo wazi kabisa na ameshakiri kuwa anavutiwa na ubunifu wa wana ya Ibrahim.
Mchina anafuata technology Israel 🤣🤣🤣🤣🤣 ungeniambia marekani, Japan, Germany, South Korea, Russia kidogo ningekuelewa Ila sio Israel 🤣🤣🤣🤣 hivi mkuu unawajua wachina kweli Kama tu Deng Xiaoping wakati anaifungua china miaka 1980s hakufuata uchafu wowote wa technology kwenye hicho kiinchi cha wavamizi wa mashariki ya Kati leo hii Karne ya 21 akafuate technology huko 🤣🤣🤣 kwanza mkuu hivi unajua china ni nchi ya ngapi Kisayansi na kiteknolojia hapa duniani. hawa hawa wayaudi waliomba kampuni ya china ikawajeengee bandari Kati ya Bandari 5 za Israel 3 zimejengwa na wachina leo hii unasema wachina wanaenda kuchukua technology Israel 🤣🤣🤣 mkuu unapozungumzia china unazungumzia taifa Namba mbili kiuchumi duniani na ni miongoni mwa mataifa matatu tu yaliyo huru hapa dunia CHINA,U.SA na RUSSIA . China sio Palestine mkuu naomba mkuu uipe heshima yake😄 wachina hawajawahi kuchanganya damu ,hawachanganyi damu na hawatokuja kuchanganya damu hakuna damu ya kiyaudi kule bali ni uwezo wa akili walionao na nguvu zao ndio umewafikisha pale unapowaona Kisayansi na kiteknolojia walipo weka kichwani hicho kitu😄
 
Leo utacheka sana jinsi gani wana wa Israel wanavyofurahisha. Kwanza watu wazima tukisema technology hatumaanishi technology za kitoto za kutengeneza simu na radio afu uuze Kwa mass na mbaya zaidi software yote anayo mtu mwingine. Technology nayoongelea ni za mambo mazito ya nchi, technology ya mambo ya Ulinzi na usalama wa chakula. Hili lipo wazi mbona
Na kwa taarifa yako hiyo bandari aliyojenga mchina ni njia ya Israel kujipatia mapato ya bandari makubwa sana kutokana na kuingiza mzingo kwa nchi za mashariki ya kati. Uliza what is china third largest exporter sourse. Kwa lugha nyepesi Israel anaweka mazingira yeye ndie awe lango la kuingiza bithaa middle east. Hii inamaanisha wakishanogewa kuingiza bithaa kwa lango lake atawafanya nini
 
We jamaa nadhani hufahamu hata unachozungumza
 
Mchina anafuata technology Israel 🤣🤣🤣🤣🤣 ungeniambia marekani, Japan, Germany, South Korea, Russia kidogo ningekuelewa Ila sio Israel 🤣🤣🤣🤣 hivi mkuu unawajua wachina kweli Kama tu Deng Xiaoping wakati anaifungua china miaka 1980s hakufuata uchafu wowote wa technology kwenye hicho kiinchi cha wavamizi wa mashariki ya Kati leo hii Karne ya 21 akafuate technology huko 🤣🤣🤣 kwanza mkuu hivi unajua china ni nchi ya ngapi Kisayansi na kiteknolojia hapa duniani. hawa hawa wayaudi waliomba kampuni ya china ikawajeengee bandari Kati ya Bandari 5 za Israel 3 zimejengwa na wachina leo hii unasema wachina wanaenda kuchukua technology Israel 🤣🤣🤣 mkuu unapozungumzia china unazungumzia taifa Namba mbili kiuchumi duniani na ni miongoni mwa mataifa matatu tu yaliyo huru hapa dunia CHINA,U.SA na RUSSIA . China sio Palestine mkuu naomba mkuu uipe heshima yake😄 wachina hawajawahi kuchanganya damu ,hawachanganyi damu na hawatokuja kuchanganya damu hakuna damu ya kiyaudi kule bali ni uwezo wa akili walionao na nguvu zao ndio umewafikisha pale unapowaona Kisayansi na kiteknolojia walipo weka kichwani hicho kitu😄
Mchina amekuwa akinunua tech Israel kwa muda mrefu tu, na wala si kitu cha kushangaza.

Mojawapo ya tech hizo ni semiconductors. Kuna wakati Marekani na Urusi hufuata tech Israel, kwanini iwe ajabu kwa Mchina?

Back
Top Bottom