and 300
JF-Expert Member
- Jun 27, 2012
- 26,398
- 36,406
Lindi na MtwaraHuo ndo ukweli
Fanya analysis PhD holders au madaktari bingwa wanatoka nyanda zipi?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Lindi na MtwaraHuo ndo ukweli
Fanya analysis PhD holders au madaktari bingwa wanatoka nyanda zipi?
uko sawa ila ongezea na kitu kimoja kwa ushamba wako mbele sana kama yule nanilino aliyetangulia kule.Kwa upande wa Wahaya wana IQ ni kweli ila ungeongezea ni wavivu mno hawapendi kazi ngumu na ndio maana kila mmoja ni mwanasheria na ndio maana mkoa wao umasikini ni wa kutisha.Mmmh wachaga wengi ni form 4 leavers mkuuuu tz wengi wenye elimu ni wasukuma aseee
Kuna jamaa yangu mkerewe..Siku zoote nilijua ni WAKEREWE ndo wanaongoza kwa akil za KUKARIRI vitu vya darasani hapa tena nashangaa kukutana na wachaga, wahaya mara wasukuma mmmhhh [emoji28][emoji28]
Kuna mtu hajawahi kwenda shule, ila amegundua kitu ambacho kinasaidia jamiiAkili ni mada subjective, hauwezi ukasema watu wa group fulani wana akili za darasani kwa kuwalinganisha na watu ambao hawajaenda darasani.
Hii mada nzima inatosha kuonesha mleta mada una upeo kiasi gani kiasi cha kuja na non sequitur argument kama hii. Hata hivyo kujifariji ni njia moja wapo ya kucope na uhalisia.
Wachaga na shule wapi na wapi?? Wengi ukorofi tu wanaishia kudrop na kufukuzwa sema mtaani wako vizuri sana kiufupi wanaakili ya maishaHuo ndo ukweli
Fanya analysis PhD holders au madaktari bingwa wanatoka nyanda zipi?
Hesabu yako ni nzuri ila inaweza leta matokeo tofauti na uhalisia pia kutokana na miundombinu. Kila kilomita 10 za mraba wilayani rombo na mreba kuna shule wakati ni zaidi ya kilometa 30 za mraba shinyanga ndo unapata shule moja ya msingi. Labda tutumie kiwango cha ufahuru maana kufahuru kunalindwa na kiwango flani cha max ambacho kila mtoto atakuwa amekivuka. Mfano kwa kila watoto kadhaa walioshinda kwenda form 5 wa kabila flani je niwangapi waliweza kuwa wasomi wa ngazi flani.msitoe namba au idadi ya watu.Wasukuma ni kabila kubwa sana hata wakoloni liliwachanga sana waliogopa namna ya kuwatawala hata hivyo waligundua ni kabila la watu ambao hawana shida.
Sasa tumie takwimu za kimaarifa zilizoenda shule.
Tutumie kitu kinaitwa density population yaani unachukue idadi ya watu unagawa na eneo la kilomita za mraba.
Chukulieni kigezo kizuri cha elimu ya chuo kikuu bila kujali ni shahada ya kwanza ya pili au ya tatu.Halafu chukueni eneo la kilomita za mraba.Vile wasukuma ni kabila kubwa chukua mkoa wa Mwanza,Shinyanga na Tabora zote kwa pamoja
hesabu itakuwa hivi
Persons/Area in Km squared
yaani kila msomi ana uwezo wa ku cover kilomita za mraba ngapi.
Majibu
Kilimanjaro=
Kagera=
Mbeya=
Wasukuma=
Mtapata data za kushangaza sana
Wahaya HAMNA KITU ni overrated.Wakuuu za sahizi,
Kwenye safari yangu ya elimu nime bahatika kukutana na wasukuma na wahaya wengi kwanzia shule za msingi mpaka saivi chuoni
Lakini jambo linalo nishangaza ni kuwa hawa jamaa wana akili mingi sana za darasani wengine hata hawasomagi ila combi ngumu ngumu kama PCM NA PCB wanabutua 1 za maana O level ndo usiseme kabisa mkuuu,,,,
Kuna mmoja alikuwa mpaka anamfundisha mwalimu 😆🤔🤔 just imagine aseee
Anaejua historia yao naomba anijuze maana inashangaza sana
Hii imekaaje aseee mbona hawa watu wamejaaliwa hivi sana Mungu.
View attachment 2614449
Miaka mitano ya magufuri ndo iliwapoteza. Huu ni utetezi kwa wasiojitambua tuWapo sana tena zaidi ya sana. Nenda shule za a level utawakuta na asilimia kubwa wanafaulu. Yani ukweli huu haubadiliki pamoja na kufanyiwa figisu sana kipindi cha mwendazake.
Mtu mwenye uwezo mkubwa kiakili mavazi yanakuwa nje ya kufikiri kwake. Swala la mavazi linakuwa daraja la chini kuliko akili yake inavyofikiriaNaunga mkono hoja mkuu... Huku kuna jamaa lina akili sanaa yn lina uwezo mkubwa wa kukariri vitu na liko smart kwenye kazi hata vikao vya ofisini huwa linazungumza fact tu... But tatizo lipo kwenye mavazi yupo lafu sanaa some time hata nywele hachani aisee
Akili hta paka anayo n'a kila mtu anayo ww sema wanakariri Masomo tu hiyo iq znawasaidia nn ktk maisha ikiwa hakuna mtu mweusi ambae alishawahi hta kugundua sindano?Mmmh wachaga wengi ni form 4 leavers mkuuuu tz wengi wenye elimu ni wasukuma aseee
magufuri? Ndio nani ndugu?Miaka mitano ya magufuri ndo iliwapoteza. Huu ni utetezi kwa wasiojitambua tu
Umesema kufanyiwa figisu kipindi cha mwendazake!!magufuri? Ndio nani ndugu?
Umesema kufanyiwa figisu kipindi cha mwendazake!!magufuri? Ndio nani ndugu?
Ndio anaitwa magufuri?Umesema kufanyiwa figisu kipindi cha mwendazake!!
Kupata uhalisia tupite mahospitalini hasa makubwa, na ma kampuni ya ujenzi, ya simu na tanesco tujue zina madaktari na ma injinia wangapi.Wakuuu za sahizi,
Kwenye safari yangu ya elimu nime bahatika kukutana na wasukuma na wahaya wengi kwanzia shule za msingi mpaka saivi chuoni
Lakini jambo linalo nishangaza ni kuwa hawa jamaa wana akili mingi sana za darasani wengine hata hawasomagi ila combi ngumu ngumu kama PCM NA PCB wanabutua 1 za maana O level ndo usiseme kabisa mkuuu,,,,
Kuna mmoja alikuwa mpaka anamfundisha mwalimu [emoji38][emoji848][emoji848] just imagine aseee
Anaejua historia yao naomba anijuze maana inashangaza sana
Hii imekaaje aseee mbona hawa watu wamejaaliwa hivi sana Mungu.
View attachment 2614449
Kumbe wewe muhaya aki ya naniNdivyo tulivyojaaliwa na Mungu