Mbona wasukuma na wahaya wana akili sana za darasani 🤔

Mbona wasukuma na wahaya wana akili sana za darasani 🤔

Then what ,mtu mwenye akili ni yule anatawala mazingira yake,kukariri SI akili
 
Watu wenye kipaji wapo kwa kila jamii sio Wahaya tu..

Miaka Ile ya 90 nilikutana na brother mmoja wa Kiunguja ananisimulia katika mtihani wa F IV alipata div III.
Wakalazimishwa akasome mambo ya fedha Dar es salaam, akakataa kwa sababu aliona atakwenda kudhalilika mbele ya Wahaya wenye Div I za moto. Akambiwa nenda tu usiogope. Akakubali shingo upande.
Basi anasema alipofika baada ya muda yeye ndio alikuwa mwalimu wa wale wenye Div I .
 
Labda VETA na chuo cha nyuki Tabora. Ila level za UDSM, Mzumbe, SAUT, Sokoine wameshapotezwa.
Wapo sana tena zaidi ya sana. Nenda shule za a level utawakuta na asilimia kubwa wanafaulu. Yani ukweli huu haubadiliki pamoja na kufanyiwa figisu sana kipindi cha mwendazake.
 
Wasukuma akili hamna wanarudia sana shule
 
Naunga mkono hoja mkuu... Huku kuna jamaa lina akili sanaa yn lina uwezo mkubwa wa kukariri vitu na liko smart kwenye kazi hata vikao vya ofisini huwa linazungumza fact tu... But tatizo lipo kwenye mavazi yupo lafu sanaa some time hata nywele hachani aisee
 
Well..It’s (most likely) based on a number of factors..I will simply analyze only 5 factors[emoji4]


3 - Your what you Raised [emoji4]Actually communicating with your child at a young age

Naomba unifafanulie point hii mie wa ngumbalu.
 
Kuna watu wataona umeonhea fact kumbe ni kutokujua.
1.Wasukuma ndio kabila kubwa Tz,wapo Mkoa wa Mwanza,Shinyanga,Geita,Simiyu na Tabora.wasukuma wame cover Mikoa 5 ya Tanzania wao wenyewe hivyo hata vyuoni na mashuleni lazima wao watakuwa wengi.Na kwenye wingi kama huo huwezi kukosa best students kamwe.

2.Wahaya sio wengi kama Wasukuma but shule zilianzia kwao,Wahaya wamejua maswala ya elimu kabla ya makabila mengine hapa Tanzania (mazingira ya kihistoria) hivyo Wahaya wengi walifahamu umuhimu wa elimu toka zamani kama wachaga.Mwamko wa shule kwenye jamii hiyo Upo juu kila mtoto lazima kwenda shule so obviously lazima nao wapo wengi madarasani.

Kiufupi Tanzania ukigika ngazi za vyuo kila darasa utakuta wanafunzi wengi ni Wasukuma,wachaga na wahaya
Umesahau Wanyakyusa.
 
Akili ni mada subjective, hauwezi ukasema watu wa group fulani wana akili za darasani kwa kuwalinganisha na watu ambao hawajaenda darasani.

Hii mada nzima inatosha kuonesha mleta mada una upeo kiasi gani kiasi cha kuja na non sequitur argument kama hii. Hata hivyo kujifariji ni njia moja wapo ya kucope na uhalisia.
 
Kuna mmoja aliwahi kupewa mamlaka mahali. Alikuwa bonge la kilaza. Hawana lolote. Wanaongoza kwa kukariri na kutumia nguvu kusoma. Wazito kuelewa hao. We labda hujui. Bora useme wanyakyusa au wachaga.
Kweli
 
Kwa wahaya nakubali ila wasukuma aiseee sio kweli wengi Wana unga unga tu .nimesoma na wasukuma nlikuwa najiuliza hawa jamaa wamefikaje level hii kama ni vilaza kiasi hiki

Alafu Wana majina mengi sijui Kwann
Utakuta mtu mmoja ana majina matatu yote yake
Umetokea ukanda gani?
 
Wakuuu za sahizi,

Kwenye safari yangu ya elimu nime bahatika kukutana na wasukuma na wahaya wengi kwanzia shule za msingi mpaka saivi chuoni

Lakini jambo linalo nishangaza ni kuwa hawa jamaa wana akili mingi sana za darasani wengine hata hawasomagi ila combi ngumu ngumu kama PCM NA PCB wanabutua 1 za maana O level ndo usiseme kabisa mkuuu,,,,

Kuna mmoja alikuwa mpaka anamfundisha mwalimu 😆🤔🤔 just imagine aseee

Anaejua historia yao naomba anijuze maana inashangaza sana

Hii imekaaje aseee mbona hawa watu wamejaaliwa hivi sana Mungu.

View attachment 2614449
Ujinga mtupu. Kwa ushahidi upi?
 
Hayo makabila simply yanawatu wengi kwaio lazima popote uwakute hata kwenye ujinga pia wapo wengi vilevile, sasa mfano wasukuma wapo mikoa 4 utaweza kufananisha na wayao, au wamatumbi kweli

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom