Mbona wasukuma na wahaya wana akili sana za darasani 🤔

Mbona wasukuma na wahaya wana akili sana za darasani 🤔

KABILA TAJIRI NI WACHAGA TU KWA SBB YA KUWA NA IQ KUBWA kila mkoa ndio wanafanya vizuri hao wengine walilie makaratasi yao
Huyo utajiri unaupima kwa kuangalia nini? Nyie watanzania sijui lini mtapata akili, mtu mwenye duka la kuuza mafuta ya kula na sukari robo unataka kumfananisha na mfanyabiashara wa dhahabu, almasi, samaki na mambo ya uvuvi, pamoja na kilimo ikiwemo mazao ya kilimo... Punguzeni ujinga na kuishi maisha ya kukariri.
 
Wakuuu za sahizi,

Kwenye safari yangu ya elimu nime bahatika kukutana na wasukuma na wahaya wengi kwanzia shule za msingi mpaka saivi chuoni

Lakini jambo linalo nishangaza ni kuwa hawa jamaa wana akili mingi sana za darasani wengine hata hawasomagi ila combi ngumu ngumu kama PCM NA PCB wanabutua 1 za maana O level ndo usiseme kabisa mkuuu,,,,

Kuna mmoja alikuwa mpaka anamfundisha mwalimu [emoji38][emoji848][emoji848] just imagine aseee

Anaejua historia yao naomba anijuze maana inashangaza sana

Hii imekaaje aseee mbona hawa watu wamejaaliwa hivi sana Mungu.

View attachment 2614449
Wasukuma wana akili zipi za darasani?
 
Kwangu binafsi.
1, Wapare
2, Wahaya
3, Wachaga.

Level zote nilizopita kwa class langu wapare ndo wali/wanaongoza kwa kutunyoosha kitaaluma.
Toa wapare toa wachaga hao ni watu wamagashi tu, huwezi kulinganisha na msukuma na mhaya hata siku moja, kama ulisoma CBE hapo sawa wachaga wamejaa pamoja na vyuo vya mipango miji lakini programme ngumu mpe msukuma na mhaya.
 
Kwan Tanzania mbona tuna almost kila kitu lakin bado ni maskini wa kutupwa..

Mimi naongelea kwa upande wa makazi, huduma za kijamii kama elimu shule, vyakula nk...mfano wilaya ya muleba huko uhayani ina hospital tano...ni wilaya ya pili nchini kwa shule za msingi nyingi baada tu ya moshi vijijini..vijiji vingi vinafikika...nyumba za nyasi au udongo ni kama hazipo kabisa.....watoto wote wanasomeshwa shule nzr nk nk...
Achana na hilo jinga.
 
ni wasukuma gani wenye akili unaowaongelea aisee? acha utani basi.
Ukiwa umesoma TIA na CBE na shule za Arts huwezi kuwajua wasukuma wala wahaya wewe endelea kusoma hotel management ukakutane na hayo makabila yako.
 
Kuna mwalimu mmoja alikuwa Huko Namtumbo,baada ya miaka kadhaa akahamia Kagera, yule mwalimu alichowahi kunieleza ni kwamba jamii ya Wahaya ilimpa changamoto sana (alipaswa awe anajiandaa ipasavyo kabla ya kuingia darasani) ukilinganisha na Huko Namtumbo( hakuwa na haja ya kujiandaa sana) alisema kuwa watoto wa Kagera (Wahaya) uelewawao uko juu sana ukilinganisha na watoto wa Namtumbo ( hapa alitoa mfno hai maana ndo ilikuwa mikoa yake ya mwisho kabla ya kustaafu), yule mwalimu ( mstaafu Kwa Sasa) alisema kabla hajastaafu aliweza kuishi mikoa tofauti tofauti maana alikuwa anahama Kwa kumfuata mwenza ambaye alikuwa ni Askari, alinismulia kuwa mbali ya kwamba jamii nyigi Zina changamoto kwenye Elimu lakini alikiri kuwa Kwa Wahaya suala la uelewa kwenye kujifunza ni tofauti sana na makabila mengi hapa nchini
 
Wakuuu za sahizi,

Kwenye safari yangu ya elimu nime bahatika kukutana na wasukuma na wahaya wengi kwanzia shule za msingi mpaka saivi chuoni

Lakini jambo linalo nishangaza ni kuwa hawa jamaa wana akili mingi sana za darasani wengine hata hawasomagi ila combi ngumu ngumu kama PCM NA PCB wanabutua 1 za maana O level ndo usiseme kabisa mkuuu,,,,

Kuna mmoja alikuwa mpaka anamfundisha mwalimu 😆🤔🤔 just imagine aseee

Anaejua historia yao naomba anijuze maana inashangaza sana

Hii imekaaje aseee mbona hawa watu wamejaaliwa hivi sana Mungu.

View attachment 2614449
Kama ndivyo Kwa nini Kanda ya Ziwa inaongoza Kwa umaskini,maujinga hovyo,magonjwa na ushamba?
 
msitoe namba au idadi ya watu.Wasukuma ni kabila kubwa sana hata wakoloni liliwachanga sana waliogopa namna ya kuwatawala hata hivyo waligundua ni kabila la watu ambao hawana shida.
Sasa tumie takwimu za kimaarifa zilizoenda shule.

Tutumie kitu kinaitwa density population yaani unachukue idadi ya watu unagawa na eneo la kilomita za mraba.
Chukulieni kigezo kizuri cha elimu ya chuo kikuu bila kujali ni shahada ya kwanza ya pili au ya tatu.Halafu chukueni eneo la kilomita za mraba.Vile wasukuma ni kabila kubwa chukua mkoa wa Mwanza,Shinyanga na Tabora zote kwa pamoja

hesabu itakuwa hivi
Persons/Area in Km squared
yaani kila msomi ana uwezo wa ku cover kilomita za mraba ngapi.

Majibu
Kilimanjaro=
Kagera=
Mbeya=
Wasukuma=

Mtapata data za kushangaza sana
 
Barabara hazijengwi na wasukuma wala wahaya bali na serikali, haya tuambie kabila lako limejenga barabara gani ili tujue, kazi ya kujenga barabara ni kazi ya wananchi, unapima akili ya mtu, utajiri pamoja na umaskini kwa kuangalia barabara? Nyie kweli ni vichaa..... Mkubali au mkatae msukuma na mhaya ni watanzania wenye ubongo wa tofauti

N.B Angalia msukuma kama vile mh Msukuma ni darasa la saba lakini upeo wake amewazidi maprofessor vilaza kutoka makabila mengine.
wapi nimeeleza kuwa barabara zinajengwa na kabila fulani. Jifunze kusoma kitu ukakielewa kabla ya kuanza kutapika upuuzi wako. nimezungumzia muonekano wa maendeleo ya watu, maisha binafsi ya watu si public infrustructure.
 
Sio kweli sema Katika familia za wahaya hakosekani msomi

Kuhusu Akili za darasani Ni spirit ya kuyapa masomo kipaumbele so tu na sio kabila
 
wapi nimeeleza kuwa barabara zinajengwa na kabila fulani. Jifunze kusoma kitu ukakielewa kabla ya kuanza kutapika upuuzi wako. nimezungumzia muonekano wa maendeleo ya watu, maisha binafsi ya watu si public infrustructure.
Acha kubwabwaja kama mla mirungi, miji ya bukoba, Mwanza, kahama, shinyanga, Tabora n.k ni miji ya ovyo?

Wasukuma na wahaya ndio watu wanaomiliki majumba ya maana kama una taka battle ya picha karibu sana.
 
we fala kweli, wapi nimetaja mji?
 
Back
Top Bottom