Joannah
JF-Expert Member
- May 8, 2020
- 20,921
- 49,014
Za kijingajingaš¤£sifa tu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Za kijingajingaš¤£sifa tu
uhayani ni aibu tupu....Umesema kweli, kuna mikoa ina umasikini na ufukara hii nchi na huko wanatoka ma PhD Holders kibao
wewe na uchaga wako ni tajiri kwa kiwango gani? ukoo wako una asset za thamani gani? sema wachaga ni kabila maarufu kwa uchuuzi. uchuuzi na utajiri ni vitu tofauti kabisa. mchuuzi asiye na asset kama ardhi huwezi ukamhesabu kuwa tajiri. Hata Mo anaonekana tajiri kwa sababu ana ardhi kubwa sana hapa nchini iliyomfanya akopesheke kirahisi.KABILA TAJIRI NI WACHAGA TU KWA SBB YA KUWA NA IQ KUBWA kila mkoa ndio wanafanya vizuri hao wengine walilie makaratasi yao
Jamaa wakisikia Mhaya lazima waje juu sijui tatizo no nini?wewe na uchaga wako ni tajiri kwa kiwango gani? ukoo wako una asset za thamani gani? sema wachaga ni kabila maarufu kwa uchuuzi. uchuuzi na utajiri ni vitu tofauti kabisa. mchuuzi asiye na asset kama ardhi huwezi ukamhesabu kuwa tajiri. Hata Mo anaonekana tajiri kwa sababu ana ardhi kubwa sana hapa nchini iliyomfanya akopesheke kirahisi.
walidanganywa na wakoloni kuwa wao ni bora kuliko wengine ilhali ukienda uchagani vijijini hali ni tofauti kabisa. ni makelele tuJamaa wakisikia Mhaya lazima waje juu sijui tatizo no nini?
Kuhusu uhayani kuwa na umaskini wa kutisha hilo nakupinga...unless hujawahi kufika huko Bukoba vijijini, muleba au misenyiuhayani ni aibu tupu....
Sijaelewa point yako ni ipi kupotosha hapa...kuwasifia watu wasiotaka kusoma au waliofeli.....ni mabingwa wa kusaka vyeti tu lakini ni hopeless kabisa.
Kwa bahati mbaya nimetembea mikoa kadhaa hapa nchini, kagera kwa hao unaowaona ndiyo vinara wa elimu kuna umaskini wa kutupwa. usukumani wala nisiseme. Mkoa wa Tabora ndiyo balaa bora hata Singida. Ukisafiri barabara ya Nzega-Tabora, utashangaa umaskini uliopo eneo hilo, watu bado wanasafiri kwa baiskeli. Ni aibu ndiyo majimbo ya wabunge wanaojiona vinara.
Ukitaka kujua hali za umaskini au utajiri hata ikiwa safarini utaona tu. Ukisafiri nchini, mahali ambako utaona dalili kubwa ya juhudi za watu kuupiga umaskini ni barabara kuanzia morogoro-mbeya-tunduma-sumbawanga. Hasa kuanzia mkoa wa iringa,. Ukishapanda kitonga unaanza kuona hali ya tofauti kabisa. Ni kama umevuka mpaka hauko TZ. Nyanda za juu kusini, hata ukiona mazingira ya miji na vijiji utajua kabisa wakazi wa mikoa hiyo (iringa, mbeya,Njombe, Songwe, Rukwa) hawana nonsense katika kazi na maisha, na hawajali habari ya kusaka vyeti.
Ushahidi ni hata wabunge wa majimbo yaliyo katika mikoa hiyo, ukimtoa Dr Tulia, wabunge wengi hawana mavyeti kubwakubwa kwa sababu wananchi mikoa hiyo huangalia uwezo wa mtu.
Emu fafanua yaan kwa wachaga na wahaya ndio kuna Gesi, Mafuta na Madini ya kutosha au sio ? Unamaanisha nini unaposema kuna umasikini masikini anamiliki Madini au Gesi kwenye Ardhi ya eneo anakotoka ?Kwa Tanzania hii ukiachana na vijiji vya wachaga na wahaya kuliko baki ni umaskini mtupu...
Kwan Tanzania mbona tuna almost kila kitu lakin bado ni maskini wa kutupwa..Emu fafanua yaan kwa wachaga na wahaya ndio kuna Gesi, Mafuta na Madini ya kutosha au sio ? Unamaanisha nini unaposema kuna umasikini masikini anamiliki Madini au Gesi kwenye Ardhi ya eneo anakotoka ?
ni wasukuma gani wenye akili unaowaongelea aisee? acha utani basi.Wakuuu za sahizi,
Kwenye safari yangu ya elimu nime bahatika kukutana na wasukuma na wahaya wengi kwanzia shule za msingi mpaka saivi chuoni
Lakini jambo linalo nishangaza ni kuwa hawa jamaa wana akili mingi sana za darasani wengine hata hawasomagi ila combi ngumu ngumu kama PCM NA PCB wanabutua 1 za maana O level ndo usiseme kabisa mkuuu,,,,
Kuna mmoja alikuwa mpaka anamfundisha mwalimu šš¤š¤ just imagine aseee
Anaejua historia yao naomba anijuze maana inashangaza sana
Hii imekaaje aseee mbona hawa watu wamejaaliwa hivi sana Mungu.
View attachment 2614449
Mada ni ya wahaya na wasukuma subiri wakileta mada ya mbege utaongelea hao wachaga. EboohI think wachaga au watu wa hulk kaskazini ndo wana high IQ wanaongoza kubeba PhD na Masters
š¤£š¤£š¤£š¤£š¤£š¤£Mada ni ya wahaya na wasukuma subiri wakileta mada ya mbege utaongelea hao wachaga. Ebooh
Barabara hazijengwi na wasukuma wala wahaya bali na serikali, haya tuambie kabila lako limejenga barabara gani ili tujue, kazi ya kujenga barabara ni kazi ya wananchi, unapima akili ya mtu, utajiri pamoja na umaskini kwa kuangalia barabara? Nyie kweli ni vichaa..... Mkubali au mkatae msukuma na mhaya ni watanzania wenye ubongo wa tofautini mabingwa wa kusaka vyeti tu lakini ni hopeless kabisa.
Kwa bahati mbaya nimetembea mikoa kadhaa hapa nchini, kagera kwa hao unaowaona ndiyo vinara wa elimu kuna umaskini wa kutupwa. usukumani wala nisiseme. Mkoa wa Tabora ndiyo balaa bora hata Singida. Ukisafiri barabara ya Nzega-Tabora, utashangaa umaskini uliopo eneo hilo, watu bado wanasafiri kwa baiskeli. Ni aibu ndiyo majimbo ya wabunge wanaojiona vinara.
Ukitaka kujua hali za umaskini au utajiri hata ikiwa safarini utaona tu. Ukisafiri nchini, mahali ambako utaona dalili kubwa ya juhudi za watu kuupiga umaskini ni barabara kuanzia morogoro-mbeya-tunduma-sumbawanga. Hasa kuanzia mkoa wa iringa,. Ukishapanda kitonga unaanza kuona hali ya tofauti kabisa. Ni kama umevuka mpaka hauko TZ. Nyanda za juu kusini, hata ukiona mazingira ya miji na vijiji utajua kabisa wakazi wa mikoa hiyo (iringa, mbeya,Njombe, Songwe, Rukwa) hawana nonsense katika kazi na maisha, na hawajali habari ya kusaka vyeti.
Ushahidi ni hata wabunge wa majimbo yaliyo katika mikoa hiyo, ukimtoa Dr Tulia, wabunge wengi hawana mavyeti kubwakubwa kwa sababu wananchi mikoa hiyo huangalia uwezo wa mtu.
Umaskini wa hayo maeneo unasababishwa na ujinga wa serikali yenu.Umesema kweli, kuna mikoa ina umasikini na ufukara hii nchi na huko wanatoka ma PhD Holders kibao