Mbona wasukuma na wahaya wana akili sana za darasani 🤔

Mbona wasukuma na wahaya wana akili sana za darasani 🤔

Ni viazi tuu vya kawaida nilisoma nao mahali wakajiana ujinga Wana akili ,mimi nikawa nawakamata math Kila mara basi wakawa hawalali mkuu
 
Ni viazi tuu vya kawaida nilisoma nao mahali wakajiana ujinga Wana akili ,mimi nikawa nawakamata math Kila mara basi wakawa hawalali mkuu
Nikawa naende kugonga zangu pombe na mademu pamoja na kukusha nawakimbiza kinoma
 
Hawana ubunifu ,siyo talented mchaga,mhehe au mnyakyusa na wale wanaotoka ziwe Nyasa akiwa talented ni halisi
 
Watu wakipata fursa kwa kitu chochote wanaweza kufanikisha makabila mengine wengi wao hawakupata fursa utaona hata waliopo madarakani baadhi ya Mikoa ipo chini kwa hiyo ni rahisi kuona wanaopata fursa kama wapo special kumbe binadamu yeyote akizingatia fursa aliyopata anatoboa bila kujali Jinsia au kabila lake...
 
Fanya utafiti kwa interlacustrine region yote. Angalia Mbeya, Kilimanjaro, na sehemu zote zenye climate ya aina hiyo,.
Hapana mi naona hayo maeneo yalikuwa na umisionary tu wa dini ndo mana mnayaona spcial!
Lakini kwa sasa hakuna cha kabila fulani watu wnapiga kitabu kwa kwenda mbele!
 
Msukuma ni hatari sana
Akitulia hasa aliyetokea ndichi.
Ila kwenye engineering Msukuma anaongoza kusema kweli hata ukienda kwenye vyuo vya engineering utakubaliana na mimi! Sheria na Medicine yuko poa pia!
Idara ya elimu wasukuma ni wengi sana pia!
 
Yani wenzie akina jamaa hawa ndio wana IQ kubwa.
Ni vile watu wa msoga tuna mambo mengi kichwani.
Yaani Vigodoro, vigoma, Harusi kila wiki, umbea na mengine mengi shule lazima ile kona.
1683615910459.jpg
 
Ila kwenye engineering Msukuma anaongoza kusema kweli hata ukienda kwenye vyuo vya engineering utakubaliana na mimi! Sheria na Medicine yuko poa pia!
Idara ya elimu wasukuma ni wengi sana pia!
Pia hata kwenye matumizi ya nguvu nyingi wapo
 
Wakuuu za sahizi,

Kwenye safari yangu ya elimu nime bahatika kukutana na wasukuma na wahaya wengi kwanzia shule za msingi mpaka saivi chuoni

Lakini jambo linalo nishangaza ni kuwa hawa jamaa wana akili mingi sana za darasani wengine hata hawasomagi ila combi ngumu ngumu kama PCM NA PCB wanabutua 1 za maana O level ndo usiseme kabisa mkuuu,,,,

Kuna mmoja alikuwa mpaka anamfundisha mwalimu 😆🤔🤔 just imagine aseee

Anaejua historia yao naomba anijuze maana inashangaza sana

Hii imekaaje aseee mbona hawa watu wamejaaliwa hivi sana Mungu.

View attachment 2614449
Siwezi kubisha hasa mangosha ni watu magenius sana.
 
N
Huo ndo ukweli

Fanya analysis PhD holders au madaktari bingwa wanatoka nyanda zipi?
Nenda SUA na Muhimbili ukahesabu maprofessor wengi wanatoka kabila gani? Kama sio wasukuma na wahaya, wachaga wamejaa huko CBE na mambo ya uhasibu, masomo magumu wape wasukuma na wahaya tu.
 
labda wa gamboshi
Wivu sio mzuri endeleeni kuwadharau mpka siku moja mkute wamewazunguka kila idara ndio mtafumbua macho, ogopa watu wanaojifanya wajinga, wasukuma wengi ni waandisi na madaktari na kozi zote ngumu zinazowashinda watu wape wasukuma na wahaya hao jamaa ni magenius
 
N

Nenda SUA na Muhimbili ukahesabu maprofessor wengi wanatoka kabila gani? Kama sio wasukuma na wahaya, wachaga wamejaa huko CBE na mambo ya uhasibu, masomo magumu wape wasukuma na wahaya tu.
Nimesoma SUA pia ila naona wapare na wachaga hasa dpartment yangu, labda ww ulikua huko kwenye ma agrikacha

Btw i saidi wat i said you are allowed kukataa ni haki yako
 
Nimesoma SUA pia ila naona wapare na wachaga hasa dpartment yangu, labda ww ulikua huko kwenye ma agrikacha

Btw i saidi wat i said you are allowed kukataa ni haki yako
Acha ujinga nenda, department ya veterinary medicine na BLS kaangalie idadi ya maprofessor wakisukuma na kihaya, mambo mepesi someni nyie wachaga.
 
Tena wasukuma walikuwa wananishangaza sana pia ni wepesi kujua kiingereza lakin ile lafudhi yao ndo huwa inawaangusha hadi wanaonekana kama hawajui

Wahaya wengi wapo vzur,zaid na zaidi nimeanza kukutana nao vyuoni,nmesoma vyuo vingi zaidi ya vinne hawa jamaa sio ke au me wapo njema kichwani
 
Back
Top Bottom