Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
😂😂😂😂 sijawai ona mchaga anasoma Phd ya DS huyo muhaya coz wako so obsessed na languageNasema wenye vi PhD vya development studies!
😅😅😅😅😅 Kwa kweli aseeeMtoa Mada umepatia, ingawa kwa kuongeza ungesema Makabila ya Kanda ya Ziwa.
Sehemu uliyokosea ni kwenye huo mfano wako wa Picha, kwani ulikosa hata Picha ya Dr Rweikiza hadi uweke Picha ya huyo Msukumua (PhD ya std 7)?
Samaki. Hasa kichwa cha Sato mbichi. Kwa Wakerewe wanaongezea kula ngere na supu yake!Wakuuu za sahizi,
Kwenye safari yangu ya elimu nime bahatika kukutana na wasukuma na wahaya wengi kwanzia shule za msingi mpaka saivi chuoni
Lakini jambo linalo nishangaza ni kuwa hawa jamaa wana akili mingi sana za darasani wengine hata hawasomagi ila combi ngumu ngumu kama PCM NA PCB wanabutua 1 za maana O level ndo usiseme kabisa mkuuu,,,,
Kuna mmoja alikuwa mpaka anamfundisha mwalimu 😆🤔🤔 just imagine aseee
Anaejua historia yao naomba anijuze maana inashangaza sana
Hii imekaaje aseee mbona hawa watu wamejaaliwa hivi sana Mungu View attachment 2614449
😅😅😅😅😅😅😅😅 Kwa kweli aseee
Hajaenda shule za kata huyoSio kweli bhanaa, labda useme wapo wengi madarasani, hivyo hata wanaofaulu pia watakuwa wengi toka kwa hao wengi
Unaweza ukawa na hoja Nzuri ila nimemuuliza Mzaramo furani hapa kasema hilo ni uongo yaani amejikataa mwenyewe.. Wazaramo wanajijua kwa kuongea maneno mengi kwa muda mfupi wana akili ila sio za DarasaniMimi ninachojua wenye akili ni wazalamo
Wachaga wanaibia sana Tatizo lao na hawaaachi hiyo kitu ipo damuni na hili limethibitishwa kila aliyesoma na mchaga... Mchaga ana akili kama za wachina...Prof lema, Msoka, mkenda, Mushi, Massawe, Shayo, Mangi, Shirima, Macha, Mallya
Jiwe ana damu ya Usukuma from Moza ake ubini noWasukuma si wa mchezo si mnakumbuka"A catalyst is a substance that increases the rate of chemical reaction, but it remains unchanged at the end of the reaction. "MAGUFULI
Kuna wa Israel wa Kilimanjaro na Ar baba kaaa mbali na hizi nambaWakuuu za sahizi,
Kwenye safari yangu ya elimu nime bahatika kukutana na wasukuma na wahaya wengi kwanzia shule za msingi mpaka saivi chuoni
Lakini jambo linalo nishangaza ni kuwa hawa jamaa wana akili mingi sana za darasani wengine hata hawasomagi ila combi ngumu ngumu kama PCM NA PCB wanabutua 1 za maana O level ndo usiseme kabisa mkuuu,,,,
Kuna mmoja alikuwa mpaka anamfundisha mwalimu 😆🤔🤔 just imagine aseee
Anaejua historia yao naomba anijuze maana inashangaza sana
Hii imekaaje aseee mbona hawa watu wamejaaliwa hivi sana Mungu View attachment 2614449
Hawa ni balaa,maprofesa wengi waafrika wametoka ukerewe,sato ni hatarii...pia Tiss inaongozwa na wakerewe.Umetusahau Wakerewe.