Mbona wasukuma na wahaya wana akili sana za darasani 🤔

Mbona wasukuma na wahaya wana akili sana za darasani 🤔

Kwa wahaya nakubali ila wasukuma aiseee sio kweli wengi Wana unga unga tu .nimesoma na wasukuma nlikuwa najiuliza hawa jamaa wamefikaje level hii kama ni vilaza kiasi hiki

Alafu Wana majina mengi sijui Kwann
Utakuta mtu mmoja ana majina matatu yote yake
Mada sio majina
 
Wasukuma sawa lakini Wahaya wala sio kiivyo!

Hapo umeacha wakurya na Guys from Kigoma ukikuta mashine huwa ni mashine hasa isiyo tumia nguvu nyingi kufaulu.
 
Wakuuu za sahizi,

Kwenye safari yangu ya elimu nime bahatika kukutana na wasukuma na wahaya wengi kwanzia shule za msingi mpaka saivi chuoni

Lakini jambo linalo nishangaza ni kuwa hawa jamaa wana akili mingi sana za darasani wengine hata hawasomagi ila combi ngumu ngumu kama PCM NA PCB wanabutua 1 za maana O level ndo usiseme kabisa mkuuu,,,,

Kuna mmoja alikuwa mpaka anamfundisha mwalimu 😆🤔🤔 just imagine aseee

Anaejua historia yao naomba anijuze maana inashangaza sana

Hii imekaaje aseee mbona hawa watu wamejaaliwa hivi sana Mungu View attachment 2614449
wengine siwajui labda dr.musukuma classmate wangu wakati tunasoma masters jamaa alikuwa anagonga tu A za kutosha GPA ni 4.5 ou of 5
 
Sasa wasukuma wana elimu gani [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Embu weka wachaga hapo na wapare mdogo wangu
 
SIFA SA WAHAYA

1.HIGH IQ MORE THAN 150 KWENDA JUU

2.WANAWEZA KUNYANDUA VZURI KULIKO KABILA LOLOTE TZ

3.WAHAYA NI KABILA LILILOTAWALIWA NA UVUMBUZI NA UBUNIFU KATIKA NYANJA ZOTE

4.HAWATUMII NGUVU DARASANI HATA MUDA MWINGINE HAWAHITAJI WALIMU

5.WANAJUA HESABU KULIKO WACHAGGA WANAOKARIRI.

6.WAHAYA NDO KABILA LA KWANZA KWA WALIOSOMA WENGI WAKIFUATIWA NA WASUKUMA NA WANYAKYUSA

7.WAHAYA WANA ROHO NZURI SANA KULIKO KABILA LOLOTE BONGO

Dahhh[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
kwa kizungu broken kama hiv we utakuwa mzaramo

(jamaa kafuta komenti) aliandika kizungu kafuta gafla[emoji23][emoji23]
 
Factors that leads to difference in IQ level among individuals.

1.GENETIC

2.MEMORY

3.LEARNING TACTICS

4.PARENTAL RISE
 
Wasukuma si wa mchezo si mnakumbuka"A catalyst is a substance that increases the rate of chemical reaction, but it remains unchanged at the end of the reaction. "MAGUFULI
Oooza mkemia mkuuu huyo
 
Wanasomaga vikozi uchwara! Hawawezi masomo magumu kama sayansi! Chunguza uone!
Khaa so udaktari bingwa ni courses uchwara??

Kanda ka kaskazini wamebobea sana sekta ya afya

Wasukuma labda engineering na penyewe hawabebi asilimia zote

Afu mie nasemea wenye PhD zao zile Og we sijui unasemea vinini au kwako mwenye akili yupoje
 
Khaa so udaktari bingwa ni courses uchwara??

Kanda ka kaskazini wamebobea sana sekta ya afya

Wasukuma labda engineering na penyewe hawabebi asilimia zote

Afu mie nasemea wenye PhD zao zile Og we sijui unasemea vinini au kwako mwenye akili yupoje
Nasema wenye vi PhD vya development studies!
 
Back
Top Bottom