Mbona wasukuma na wahaya wana akili sana za darasani 🤔

Well..It’s (most likely) based on a number of factors..I will simply analyze only 5 factors😊

1 - Natural intellect..Hate to break it to everyone.. some people are just born more intelligent..Their brain is wired in such a way that they process information faster..or draw links better.. or have better memory recall..whatever it is they simply have an advantage

2 - Genetics and how much their parents teach them anything or support them in their own learning

3 - Your what you Raised 😊Actually communicating with your child at a young age

4 - Parenting is a big factor in my opinion🤦Children are what we make them to be as their parents..Its simple as monkey see and monkey do🐒

5 - IQ Level😊 Normally 130 IQ is about 1 in 50 and 145 IQ is 1 in 741..There aren't a lot of them

By adding on your list even CHAGGA and WAHA are the best in IQ😊👌👋
 
Wow comment murua kabisa 😍☺️☺️👏👏👏
 
Kwa wahaya nakubali ila wasukuma aiseee sio kweli wengi Wana unga unga tu .nimesoma na wasukuma nlikuwa najiuliza hawa jamaa wamefikaje level hii kama ni vilaza kiasi hiki

Alafu Wana majina mengi sijui Kwann
Utakuta mtu mmoja ana majina matatu yote yake
 
😅😅😅 Duuuh noma sana
 
Wakuuu za sahizi,

Kwenye safari yangu ya elimu nime bahatika kukutana na wasukuma na wahaya wengi kwanzia shule za msingi mpaka saivi chuoni

Lakini jambo linalo nishangaza ni kuwa hawa jamaa wana akili mingi sana za darasani wengine hata hawasomagi ila combi ngumu ngumu kama PCM NA PCB wanabutua 1 za maana O level ndo usiseme kabisa mkuuu,,,,

Kuna mmoja alikuwa mpaka anamfundisha mwalimu 😆🤔🤔 just imagine aseee

Anaejua historia yao naomba anijuze maana inashangaza sana

Hii imekaaje aseee mbona hawa watu wamejaaliwa hivi sana Mungu View attachment 2614449
We NI msukuma au mhaya?acheni sifa za kijinga.sema mnapenda kufake sana KWENYE elimu.
 
Kwa wahaya nakubali ila wasukuma aiseee sio kweli wengi Wana unga unga tu .nimesoma na wasukuma nlikuwa najiuliza hawa jamaa wamefikaje level hii kama ni vilaza kiasi hiki

Alafu Wana majina mengi sijui Kwann
Utakuta mtu mmoja ana majina matatu yote yake
C wanaiba vyeti vya watu.ndo mana mara bashite ramadhani,mara makonda abdalah,mara Paul mathayo.
 
Usiangalie mfano mmoja tu mkuuu

Generally wapo vizuri hawa watu kielimu
 
Wakuuu za sahizi,

Kwenye safari yangu ya elimu nime bahatika kukutana na wasukuma na wahaya wengi kwanzia shule za msingi mpaka saivi chuoni

Lakini jambo linalo nishangaza ni kuwa hawa jamaa wana akili mingi sana za darasani wengine hata hawasomagi ila combi ngumu ngumu kama PCM NA PCB wanabutua 1 za maana O level ndo usiseme kabisa mkuuu,,,,

Kuna mmoja alikuwa mpaka anamfundisha mwalimu 😆🤔🤔 just imagine aseee

Anaejua historia yao naomba anijuze maana inashangaza sana

Hii imekaaje aseee mbona hawa watu wamejaaliwa hivi sana Mungu View attachment 2614449
Halafu ukaweka picha ya PHD ya darasa la saba!
 
Back
Top Bottom