BodGanleonid
JF-Expert Member
- Nov 14, 2022
- 3,021
- 4,330
Be blessed.Ukweli humuweka mtu huru mkuu
We ni msukuma?Ndivyo tulivyojaaliwa na Mungu
Akili ya darasani haina kabila hata kina Sumaye wanazo akili za darasani na ndio maana walitoboaKuna mmoja alikuwa mpaka anamfundisha mwalimu ππ€π€ just imagine aseee
I think wachaga au watu wa hulk kaskazini ndo wanaongoza kubeba PhD na Masters
Wow comment murua kabisa πβΊοΈβΊοΈπππWell..Itβs (most likely) based on a number of factors..I will simply analyze only 5 factorsπ
1 - Natural intellect..Hate to break it to everyone.. some people are just born more intelligent..Their brain is wired in such a way that they process information faster..or draw links better.. or have better memory recall..whatever it is they simply have an advantage
2 - Genetics and how much their parents teach them anything or support them in their own learning
3 - Your what you Raised πActually communicating with your child at a young age
4 - Parenting is a big factor in my opinionπ€¦Children are what we make them to be as their parents..Its simple as monkey see and monkey doπ
5 - IQ Levelπ Normally 130 IQ is about 1 in 50 and 145 IQ is 1 in 741..There aren't a lot of them
By adding on your list even CHAGGA and WAHA are the best in IQπππ
π π π Duuuh noma sanaKwa wahaya nakubali ila wasukuma aiseee sio kweli wengi Wana unga unga tu .nimesoma na wasukuma nlikuwa najiuliza hawa jamaa wamefikaje level hii kama ni vilaza kiasi hiki
Alafu Wana majina mengi sijui Kwann
Utakuta mtu mmoja ana majina matatu yote yake
We NI msukuma au mhaya?acheni sifa za kijinga.sema mnapenda kufake sana KWENYE elimu.Wakuuu za sahizi,
Kwenye safari yangu ya elimu nime bahatika kukutana na wasukuma na wahaya wengi kwanzia shule za msingi mpaka saivi chuoni
Lakini jambo linalo nishangaza ni kuwa hawa jamaa wana akili mingi sana za darasani wengine hata hawasomagi ila combi ngumu ngumu kama PCM NA PCB wanabutua 1 za maana O level ndo usiseme kabisa mkuuu,,,,
Kuna mmoja alikuwa mpaka anamfundisha mwalimu ππ€π€ just imagine aseee
Anaejua historia yao naomba anijuze maana inashangaza sana
Hii imekaaje aseee mbona hawa watu wamejaaliwa hivi sana Mungu View attachment 2614449
π₯°πππWow comment murua kabisa πβΊοΈβΊοΈπππ
C wanaiba vyeti vya watu.ndo mana mara bashite ramadhani,mara makonda abdalah,mara Paul mathayo.Kwa wahaya nakubali ila wasukuma aiseee sio kweli wengi Wana unga unga tu .nimesoma na wasukuma nlikuwa najiuliza hawa jamaa wamefikaje level hii kama ni vilaza kiasi hiki
Alafu Wana majina mengi sijui Kwann
Utakuta mtu mmoja ana majina matatu yote yake
we umwari acha wivu π€£Sio kweli bhanaa, labda useme wapo wengi madarasani, hivyo hata wanaofaulu pia watakuwa wengi toka kwa hao wengi
Halafu ukaweka picha ya PHD ya darasa la saba!Wakuuu za sahizi,